Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hatuna plan kwenye mashambulizi leo na wachezaji hawapo aggressive kabisa tuendelee kuomba tupate ushindii
 
Timu imejaa mambugila mbugila tu yalikua yanalalamika Scot na Fred kucheza pamoja na formation ya 4 2 3 1 ila siku hizi yameacha kulalamika yanaona sawa tu
 
KOCHA MJINGA HUYU..HUYO SANCHO ANACHEZA MPAKA MWISHO..ETI ANAMTOA TOMINAY KUMUINGIZA RASHFORD..TOA SANCHOOOOOOO
Tominay angebaki angepewa kadi nyekundu hata kwa foul ndogo sana. Sema amjaribu Lingard nafasi ya Sancho.
 
  • Thanks
Reactions: ARV
HAPA UNITED KILA KOCHA ANAYEKUJA ANA MCHEZAJI WAKE ANAYEMPENDA NA ANAYEMUANGUSHA SANA...WAKATI ULE TULIKUWA NA MASHO" WAKATI HUU TUNA SANCHO. WINGA HAPIGI HATA KROSI MOJA!!!! CHENGA NYIIINGI MAAMUZI YA MAANA HAMNA..WAKATI TUNACHEZA MPIRA TULIKUWA TUNAWAITA "MACHACHARI LAKINI SIO HATARI"
Mkuu usisahau kutuwekea msimamo kama ufanyavyo kwenye jukwaa letu kule
 
  • Thanks
Reactions: ARV
Back
Top Bottom