Mervin
JF-Expert Member
- Sep 28, 2021
- 1,916
- 2,638
Wakuu Dybala anaondoka Juve bure mwisho wa msimu, anatufaa hatufai?


halafu badae uanze kulalamika kocha alimchukua Dyabala wa Nini wakati Kuna Bruno,Mata,Pogba,Fred,Elanga wanaweza kucheza nafasi anayo cheza Dyabala 


Mkuu Chief,hii mbona iko wazi kabisa. AWB hana asili ya kusaidia mashambulizi hivyo inamlazimu Lindelof akafanye hiyo kazi naye atafanya majukumu ya kiulinzi kwa niaba yake. Tofauti na Dalot,yeye akili yake iko kwenye kushambulia zaidi hivyo hutamuona Lindelof akienda mbele wakati tayari Dalot kashaacha nafasi huku nyuma.
Kwa upande wa mbinu uko sahihi kwamba AWB anafaa kufanya man marking kwa winga anayehatarisha usalama wetu kuliko Dalot. Ingawa kwa kiasi fulani matumizi ya fullbacks yamebadilika hivyo sisi hatuwezi kufanya tofauti na wenzetu wakati hatupati matokeo chanya kwa mbinu hizo. Hoja ya msingi ni kwamba kama uchezaji wa AWB utaendelea kubaki hivyo daima alitakiwa kuwa squad player na sio starter kama Ole alivyokuwa anatuaminisha.
Ni imani yangu endapo mwalimu mpya akija na akapewa nafasi 5 za kuboresha kwenye kikosi chetu,hata eneo la RB ni miongoni mwa hayo maeneo.


Bissaka Huwa ana shambulia na kurudi kukaba.
kuacha gape na kufanya namba 4 akabe nafasi yake.1. Man city
2. Liverpool
3. Arsenal
4. Chelsea
Mbio zipi ambazo zipo wazi?



Ligi haijaisha Mkuu. Hayo uliyo yaandika ni matamanio Yako TU 
. Kocha alimtaka haidara baada ya kuona maji yamemfika shingoni.Lakini alikabidhiwa timu alisema Hana haja ya kufanya usajiri wowote,timu Ina watu wenye vipaji.Kukatokea mzozo wa martial kupigwa benchi Siku nyingine kutokucheza kabisa,kocha akasema anae hitaji kuondoka aondoke mlango uko wazi ndo maana martial na beek wakatembea.Uwe makini unapo fatilia tarifa.Manchester United waliamua kuachana na mpango wa kusajili mchezaji kwenye hili dirisha dogo la usajili kwa sababu ya ugumu wa kufanya biashara ya mchezaji,
sababu nyingine ya msingi ni kwa pande zote mbili kufikia makubaliano ya kutokusajili mchezaji hususani wa kiungo kwa dhumuni la kutokuingilia mipango ya kocha wa kudumu ajaye.
kwa mfano taarifa zinadai ralf rangnick alimuhitaji haidara wa Leipzig au yule kiungo wa Borussia aliyekwenda Juventus.
jaalia kocha ajaye akasema haidara haendani na falsafa yangu hivyo auzwe unadhani ni sahihi?
ndio maana klabu haikuhangaika na usajili ila ikaruhusu kuondoka kwa baadhi ya wachezaji kwa mkopo kwa kipengele cha kutokuuzwa.
kocha ajaye ndiye atakayeamua khatma ya kila mchezaji kuanzia wale walioishiwa mikataba kama pogba na wale walio kwa mkopo.
jitahidi kufuatilia taarifa.
Hao walio fanikiwa ni falsafa zao huwezi kusema man utd iige kutoka kwao ingali man utd Ina falsafa yake Mkuu.Sijasema umeanza leo. Ila kwa falsafa ya modern football hautaleta matunda....
Angalia vilabu vilivyofanikiwa zaidi kwa miaka 10 ilopita pale England, angalia falsafa zao kwenye recruitment, angalia squad zao, angalia miongozo & maamuzi ya viongozi wa uwanjani & locker room....
Compare na United, I hope you see the difference. Hiyo ndo point yangu
Sent using Jamii Forums mobile app


Hao walio fanikiwa ni falsafa zao huwezi kusema man utd iige kutoka kwao ingali man utd Ina falsafa yake Mkuu.
Utaiga vingapii???![]()


Hatari sana, safari bado ndefuKila timu Ina falsafa yake,ulitaka waige falsafa ya psg au Man city? Ajax au Madrid?
. Ndiyo vizuri huigwa lakini vipi,utaiga vingapii Mkuu.???Wataanza kulia lia Sana kama wachezaji hawajawaona kwenye timu zao za taifa wakicheza,Ila ngoja wafike kwenye club Yao.watakupa list yao kuwa hawasitahili kuichezea timu yaooBaada ya international break, nyumbu zitaanza kuingia kwenye heat.
Akianza kucheza mashabiki wake duniani kote wataanza kulia mooo mooo, wanalilia dume.








Hapa tukiwafunga Hawa manguli. Kikubwa mipango tuuu
Wanajadili ugaidi wa Mrusi kwenye nchi ya Uingereza.Hivi na hapa mnajadili mpira?
Nimekuelewa sana mkuu.laurie whitewill ameandika(huyu ni tier 1 kwa taarifa za man utd): klabu imepanga kusajili wachezaji wanne kupitia maeneo tofauti. (1) viungo wawili, mmoja ni eneo la ulinzi na mwengine ushambuliaji (2) winga wa kulia, teh teh teh (3) mshambuliaji na kipaombele kikuu ni harry kane bila ya kujali kocha ajaye, mazungumzo ya usajili wake yalifanywa kati ya ed woodward na daniel levy msimu uliopita. gharama za usajili wake itakuwa ni paundi million 100 au zaidi. kama dili litashindikana ndipo wataangalia mshambuliaji mwengine kama vile nunez wa benfica anayegombaniwa zaidi na arsenal.(4) jorge mendez yupo kwenye mchakato wa kutafuta mshambuliaji mbadala wa harry kane kwa timu ya ..... (5) usajili wa kane pia utategemea na mipango ya man city wanaomgombania haaland au kane. fuentte hiyo namba tatu umeisoma vizuri?
sosha mkuuHuyo ni RR au Sosha?
Maana RR hata kabla haja kabidhiwa timu alikuwa anajinadi Sana kuwa timu Ina vipaji.Badae akaanza kulalamika wachezaji hawafati maelekezooo
.Inafurahisha Sana.
Gape Mbona lilikuwa wAzi baada ya Herrera kuondoka,Lakini lilionekana zaidi baada ya Scott kupata injury za mara Kwa marasosha mkuu
Unataka Nini? Deal na mechi zako Mkuu! Nani kakwambia una kikosi Cha kumfunga crystal palace ambaye city alishindwa kumfungwa home and away??Hamna kikosi cha kumfunga Leicester city
Magwaya ni mzima wa afya kufuatia hiyo game![]()
Mchezaji yoyote awe bora vipi akija team yoyote akawa flop hakuna ambaye hataacha kulalamika hiyo ni fact, Akija kocha mpya akamuhitaji utasema kuna hawa wanacheza nafasi yake? Yaani kabisa unamuhesabu Mata katika wachezaji chief na aaminiwe 1st 11? Anyway nikuulize katika hao uliotaja hapo yupi anaweza muweka bench Dybala aliye fit kabisa kama wanafika / kuzidi watatu?halafu badae uanze kulalamika kocha alimchukua Dyabala wa Nini wakati Kuna Bruno,Mata,Pogba,Fred,Elanga wanaweza kucheza nafasi anayo cheza Dyabala
![]()
Na nilimjibu pia mbio za top 4 zipo wazi kama ubingwa tuLigi haijaisha Mkuu. Hayo uliyo yaandika ni matamanio Yako TU
.
Ndo utamu WA Epl,hautabili mpaka mwisho WA safari... Dadeq