Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Si jambo la Ajabu toka AWB arudi kwenye Kikosi tumeanza kupata Ushindi mzuri, angalia goli 4 vs Leeds angalia Lindelof Alivyokuwa anapanda angalia AWB alivyokuwa ana cover nafasi yake. Kuona vizuri Tactic anayoweza kuleta AWB angalia highlight goli la 2 vs leeds.
Mkuu Chief,hii mbona iko wazi kabisa. AWB hana asili ya kusaidia mashambulizi hivyo inamlazimu Lindelof akafanye hiyo kazi naye atafanya majukumu ya kiulinzi kwa niaba yake. Tofauti na Dalot,yeye akili yake iko kwenye kushambulia zaidi hivyo hutamuona Lindelof akienda mbele wakati tayari Dalot kashaacha nafasi huku nyuma.

Kwa upande wa mbinu uko sahihi kwamba AWB anafaa kufanya man marking kwa winga anayehatarisha usalama wetu kuliko Dalot. Ingawa kwa kiasi fulani matumizi ya fullbacks yamebadilika hivyo sisi hatuwezi kufanya tofauti na wenzetu wakati hatupati matokeo chanya kwa mbinu hizo. Hoja ya msingi ni kwamba kama uchezaji wa AWB utaendelea kubaki hivyo daima alitakiwa kuwa squad player na sio starter kama Ole alivyokuwa anatuaminisha.

Ni imani yangu endapo mwalimu mpya akija na akapewa nafasi 5 za kuboresha kwenye kikosi chetu,hata eneo la RB ni miongoni mwa hayo maeneo.
 
Managerial hunting
Screenshot_2022-03-23-04-15-59-025_com.twitter.android.jpg
 
Vipi Kwa manchester UTD shida ni nini?? Wachezaji walewale Kocha akadai wanamtosha Hana haja ya kuongeza MTU LAKINI anae taka kuondoka mlango uko wazi,Je.Kwenye kupata matokeo shida ni nini??
Manchester United waliamua kuachana na mpango wa kusajili mchezaji kwenye hili dirisha dogo la usajili kwa sababu ya ugumu wa kufanya biashara ya mchezaji,

sababu nyingine ya msingi ni kwa pande zote mbili kufikia makubaliano ya kutokusajili mchezaji hususani wa kiungo kwa dhumuni la kutokuingilia mipango ya kocha wa kudumu ajaye.

kwa mfano taarifa zinadai ralf rangnick alimuhitaji haidara wa Leipzig au yule kiungo wa Borussia aliyekwenda Juventus.

jaalia kocha ajaye akasema haidara haendani na falsafa yangu hivyo auzwe unadhani ni sahihi?

ndio maana klabu haikuhangaika na usajili ila ikaruhusu kuondoka kwa baadhi ya wachezaji kwa mkopo kwa kipengele cha kutokuuzwa.

kocha ajaye ndiye atakayeamua khatma ya kila mchezaji kuanzia wale walioishiwa mikataba kama pogba na wale walio kwa mkopo.

jitahidi kufuatilia taarifa.
 
Kuna taarifa za udaku pia. Izo zako ni za udaku kwa sababu RR alisema wenyewe kikosi kinajitosheleza.
 
Manchester United waliamua kuachana na mpango wa kusajili mchezaji kwenye hili dirisha dogo la usajili kwa sababu ya ugumu wa kufanya biashara ya mchezaji,

sababu nyingine ya msingi ni kwa pande zote mbili kufikia makubaliano ya kutokusajili mchezaji hususani wa kiungo kwa dhumuni la kutokuingilia mipango ya kocha wa kudumu ajaye.

kwa mfano taarifa zinadai ralf rangnick alimuhitaji haidara wa Leipzig au yule kiungo wa Borussia aliyekwenda Juventus.

jaalia kocha ajaye akasema haidara haendani na falsafa yangu hivyo auzwe unadhani ni sahihi?

ndio maana klabu haikuhangaika na usajili ila ikaruhusu kuondoka kwa baadhi ya wachezaji kwa mkopo kwa kipengele cha kutokuuzwa.

kocha ajaye ndiye atakayeamua khatma ya kila mchezaji kuanzia wale walioishiwa mikataba kama pogba na wale walio kwa mkopo.

jitahidi kufuatilia taarifa.
TEN HAAG anapewa timu hii
 
Hii team ni mavi Sasa mna m interview Eric hao wanao mu interview wapewe team
 
Martial ndio ole Amemtaka ila logic yangu si kwamba ole ndo ameagiza alipwe 200k kwa wiki hio si kazi yake.

Kama umewahi kufanya kazi hata ofisi ndogo utalewa Ninachoongea, supervisor wako ama mkuu wa kitengo anaweza kutoa report ukaachishwa kazi ama ukaongezewa mshahara ila hapangi yeye ni kiasi gani, Mabosi juu hio ni kazi yao, na kwa Man U ni Matt judge chini Ya Woodward.

Mkuu AWB ni Quality RB on its way, tatizo lenu nyie munapenda kuiga sababu kuna Mchezaji x mahala Fulani basi mnataka Awb awe kama Huyo X bila kuangalia Anacho add kwenye timu. Tunaweza kuwa na Attacking oriented RB na tukawa na AWB same squad. Nimeangalia Man U miaka mingi sana Nimemuangalia Mou miaka kibao na timu nyingi,

Nimemuona Fergie Akimpanga Fletcher, Owen Hargreaves, Smalling na Jones kama Beki wa Kulia na kumuweka Bench Rafaeli ama Neville, sababu ya Tactic ya mechi Kumkaba mtu fulani. Kutegemea na position Jones alipangwa hadi no 6 anatembea na Fellaini tu ama Park na Pirlo, Hargreaves na Messi etc wote hawa walifanya kazi yao kwa ufanisi mkubwa sana na hizo mechi zilikuwa muhimu (Tulibeba hadi UCL kwa hii strategy)

Nimeshamuona Mou madrid Pale anampanga Essien kama namba mbili, tena UCL arbeloa anasugua Benchi,

Kuna mechi ili kunulify mtu fulani Ama Threat fulani you need someone like AWB. Pale Paris alichomfanya Mbape chenyewe kina Worth 10M

Si jambo la Ajabu toka AWB arudi kwenye Kikosi tumeanza kupata Ushindi mzuri, angalia goli 4 vs Leeds angalia Lindelof Alivyokuwa anapanda angalia AWB alivyokuwa ana cover nafasi yake. Kuona vizuri Tactic anayoweza kuleta AWB angalia highlight goli la 2 vs leeds.

Na Maguire was Class, sababu Msimu huu ana Hit and miss doesnt mean ni mchezaji mbaya, subiria Kocha anaekuja ataamua mwenyewe.
Tatizo Man u wachezaji wakukaa benchi ndio wanapata nafasi na kula mishahara minono
Mfano huyo AWB ni mchezaji wakukaa bench ila kuna mech anaweza akatumika
Kosa la kwanza ni kuwa na Maguaya huyu ni mchezaji wa kukaa bench n weakness kwa defence yetu ana makosa meng kwa timu ya premier League inayo tafuta makombe au top 4 hafai kuanza....kosa la pili n kupewa nafasi na kuwa captain hapa in fact hafai kuwa captain hana kigezo zaid ya kuwa mchezaji mzawa wa wingereza huyu ni wakukaa bench hasara n hasara ila tusizid kuongeza hasara

Kingine hao kina pogba, martial, rashford, jess, degea hawa watu pia ni wakuondoa japo n wachezaji wazuri lakn tunahitaji nguvu mpya na isitoshe huenda kuna factors nyingin kama huko kweny dressing room zinasababish matokeo mabovu ndan ya uwanja....Hawa ni wachezaji wazuri
SITO SHANGAA kuna watu wataletea ubishi kwasababu ya mapenzi yao kwa hao wachezaji
WENGINE WA KUWAONDOA ni Mata, Jones, Cavan usiniulize kwann cavan nimemuweka kwenye list

TUNAHITAJI SAJILI zisizo pungua SITA ili kuwa bora tena hapo kocha na benchi la ufund ndio anatakiwa apewe kipaumbele wachezaji wanne yy ndio awe ame wataka na wawili wawe ni bodi for the future lakn wawe na uwezo wa kutafuta namba ndan ya kikosi cha kwanza

NAWASILISHA MTAZAMO WANGU GGMU
 
1. Man city
2. Liverpool
3. Arsenal
4. Chelsea

Mbio zipi ambazo zipo wazi?
Sasa unaandika matimu bila points, games played n.k huo ni ubashiri wako au ni kitu gani? sijakuelewa umeandika hapo kutukumbusha msimamo au utabiri au point yako ni ipi? Kwamba Arsenal atamaliza juu ya chelsea? Sawa, ila mbio za top 4 zipo wazi kama ilivyo kwenye ubingwa tu
 
Ni muda muafaka wa kuachana na;

✓Pogba
✓Lingard
✓Mata
✓Jones
✓Martial
✓Matic
✓Van de Beek
✓Cavani
✓Ronaldo**

Hawa ndo rahisi kuwafagia harakaharaka..then kocha afanye proper replacements ya hawa watu.

Basically mimi msimu ujao kwenye first eleven yangu wachezaji ambao atleast wanastahili kuingia ni kama ifuatavyo;

XXXXX

XXX Lindelof Varane XXX

XXXX
Fernandes Fred

Sancho XXX XXXX
 
ameandika James ducker (tier 1)

PSG could be spared compensation bill of £15-20m if Pochettino handed #mufc job.

Formal talks planned with Poch & other Utd candidates after Ten Hag interview kickstarted process on Monday.

Ten Hag could take Mitchell van der Gaag with him if got job
 
Naweka wazi msimamo wangu kabisa hapa kwenye suala la kocha.
Kama asipokuja ETH au Enrique,basi nitawapisha kidogo muendelee na hii timu ili nifanye mambo mengine kwa msimu ujao.
Sijui board inaona nini kwa Poch!
 
Sijui poch anaconnection pale man u....alafu maswala ya kuwa sikiliza hao kina ferg na sijui malegend ndio kuna tupoteza saiz ungekuta tupo na conte
 
Sijui poch anaconnection pale man u....alafu maswala ya kuwa sikiliza hao kina ferg na sijui malegend ndio kuna tupoteza saiz ungekuta tupo na conte
hapo kwa antonio conte umenikumbusha kauli za gary neville alipoonesha wasiwasi juu ya tetesi za kuajiriwa kwa conte baada ya kufukuzwa kwa solskjaer, gary alisema antonio haendani na falsafa za kiuchezaji za man utd zinazojitanabahisha na soka la kushambulia.cha ajabu baada ya kufungwa na atletico madrid amewashauri viongozi wa man utd wamsajili diego simeone. sijui umeielewa hoja yangu?
 
Back
Top Bottom