Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

JamiiForums33475437_540x516.jpg
 
Paul Pogba tells Téléfoot on his future: “I want to win titles, to play for something and this year and the last few years we haven't won a title. It's sad”. #MUFC

“The season is not over yet, but almost because we don't have any more titles to play for”. https://t.co/Ws4R5DEtMZ

Pogba mnyamwezi sana, huwa anachana live
 
Juve walimnunua kwa mbwembwe Ronaldo ili awawezeshe kushinda UEFA. Wakaishia kuaibishwa na vitimu vidogo kama Ajax na Porto

Wamesahau kuwa timu ya kushinda makombe makubwa inajengwa idara zote hadi kocha kwa muda mrefu
 
Naomba kuuliza waungwana sio kwa ubaya lakini, hivi hii ni klabu ya mpira kweli.!!?? Ama ni kikundi cha wapiga ngoma
 
Akiongea Pogba anatukanwa, hili li timu linatupotezea sana muda mashabiki na kuna habari kuwa wanataka kuwaongezea mikataba Rashford na Shaw.

Msimu huu ukiisha tutajua muelekeo wa hii timu.
20220328_154910.jpg
 
Akiongea Pogba anatukanwa, hili li timu linatupotezea sana muda mashabiki na kuna habari kuwa wanataka kuwaongezea mikataba Rashford na Shaw.

Msimu huu ukiisha tutajua muelekeo wa hii timu.View attachment 2167056
Mkuu Daemushin kuna kipindi tuliwahi kuulizana swali lenye uelekeo huu kama united hufanya sajili zake kwa misingi na vipaumbele vya kibiashara zaidi au la. Nadhani LvG ametupatia jibu walau kwa asilimia 70 kwamba ni NDIO.
 
Akiongea Pogba anatukanwa, hili li timu linatupotezea sana muda mashabiki na kuna habari kuwa wanataka kuwaongezea mikataba Rashford na Shaw.
Tulishindwa kuimarisha kikosi kwenye eneo la kiungo dirisha dogo kwa sababu walitaka mwalimu ajaye ndiye aseme nani aje na nani aondoke. Lakini leo Rashford na Shaw (waingereza wasio na form misimu 2 mfululizo) wanapewa kandarasi mpya kabla hata huyo mwalimu hajafika.
Mbaya zaidi wamepoteza namba kwenye kikosi cha kwanza!
 
Back
Top Bottom