Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sometimes natamani timu kama Man U ingekua inaendeshwa kama timu za Simba na yanga kwenye suala la output.

Tusingekua na Maguire wala wajinga wengine. Hata sosha angetimuliwa zamani.

Hata Chelsea hapo hawacheki na mtu.

Nikiona Maguire anachezea timu kubwa ile na mabeki waliopita upande wake napata hasira.
Plus eti ana ukaptain.

Ralf nae napoteza imani hapa.

Mechi serious, waingereza wawe wawili au mmoja first eleven.

Eti unamsub lindelof unaacha kubwa jinga Maguire.
Ni kweli mkuu,fikiria siku hizi Varane anasubir benchi huku maguire akiendelea kutoa boko daily.
 
Arsenal anakuja kama hayupo vile..tutakuja kushangaa tumepitwa point sita.
 
Arsenal anakuja kama hayupo vile..tutakuja kushangaa tumepitwa point sita.
Ndiyo mpango wetu ila tuna Liverpool na Chelsea hapo. Kuwapita sita ni ngumu kwa mtazamo huu. Chlesea tunamuua ila Liverpool atatusumbua.
 
Ndiyo mpango wetu ila tuna Liverpool na Chelsea hapo. Kuwapita sita ni ngumu kwa mtazamo huu. Chlesea tunamuua ila Liverpool atatusumbua.
Sisi pia tuna fixture ngumu ahead..Tuna City na Liverpol muda sio mrefu.
 
Sisi pia tuna fixture ngumu ahead..Tuna City na Liverpol muda sio mrefu.
Nyie pia City mnaweza mkambahatisha mkashangaa mmepata kiushindi cha kizushi. Liverpool watawachinjia baharini fasta. Mambo yanabaki pale pale. Muhimu ni hivi vitimu vidogo vilivyobakia. Hivyo lazima vichapwe tu visipate hata sare.
 
Rashford na Maguire kesho wakianza sitaangalia mpira..
Kosa lilianza pale Maguire alipopewa unahodha, ili uwe captain lazima uwe regular starter sasa kama makocha hawataki kumvua kitambaa sioni ni kwa namna gani watamuweka bench kwa mechi nyingi mfululizo.

Henderson wa Liverpool kuna kipindi alikuwa anazingua lakini mechi zote alikuwa anaanza halafu haya masuala ya unahodha naona yanaenda sambamba na utaifa.

Mchezaji kama De Gea ndiyo anastahili kuwa nahodha.
 
Tunawasaidiaje wenzetu Chelsea, Tajiri wao amebanwa wataanza kulialia na bakuli kama Yanga
Screenshot_20220225-114806_Chrome.jpg
 
Kosa lilianza pale Maguire alipopewa unahodha, ili uwe captain lazima uwe regular starter sasa kama makocha hawataki kumvua kitambaa sioni ni kwa namna gani watamuweka bench kwa mechi nyingi mfululizo.

Henderson wa Liverpool kuna kipindi alikuwa anazingua lakini mechi zote alikuwa anaanza halafu haya masuala ya unahodha naona yanaenda sambamba na utaifa.

Mchezaji kama De Gea ndiyo anastahili kuwa nahodha.
Hakuna makaptaini wasaidizi?

Na hii ni sheria ambayo isipofwata tutapigwa faini au.

Dawa ya jumla ni kumvua kitambaa.
 
Spurs kapigwa, wapinzani wakidrop points hivi katika viporo vyao ni nafuu kwetu kwa mbio za top 4, kipigo cha leo means hata akishinda hizo game mbili zilizobaki bado tunamuacha point 1, tumuombee njaa arsenal na wolves kesho..

Rashford ni nini msimu huu? Completely lost kabisa dogo..
Endelea kumuonjea njaa tu
 
Magwaya hata timu ya taifa Yuko ndani nyie hamjiulizi Kwa Nini?

Kaeni Kwa kutulia.

Kwamba makocha wote wanne hawaoni makosa anayo fanya magwaya???!!!

Kuanzia rogers,Sosha,RR na kocha wake wa timu ya taifa??
 
Hawa wazungu wa ulaya kama kweli wanawajali wenzao wa Ukraine,wavunje au kusimamisha ligi zao hadi hapo vita vitakapoisha.
Wenzao wanakufa kwa moto wao wako uwanjani wanashangilia halafu wanaishia kutoa maneno ya kulaani tu.
 
Back
Top Bottom