Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

hapo kwa antonio conte umenikumbusha kauli za gary neville alipoonesha wasiwasi juu ya tetesi za kuajiriwa kwa conte baada ya kufukuzwa kwa solskjaer, gary alisema antonio haendani na falsafa za kiuchezaji za man utd zinazojitanabahisha na soka la kushambulia.cha ajabu baada ya kufungwa na atletico madrid amewashauri viongozi wa man utd wamsajili diego simeone. sijui umeielewa hoja yangu?
Conte was perfect coach for United
 
ameandika James ducker (tier 1)

PSG could be spared compensation bill of £15-20m if Pochettino handed #mufc job.

Formal talks planned with Poch & other Utd candidates after Ten Hag interview kickstarted process on Monday.

Ten Hag could take Mitchell van der Gaag with him if got job
Wanaenda tena kufanya kosa lingine, hii timu mtabaki pekeenu wakereketwa mana cc tuna mambo mengi ya kufanya.
 
ameandika James ducker (tier 1)

PSG could be spared compensation bill of £15-20m if Pochettino handed #mufc job.

Formal talks planned with Poch & other Utd candidates after Ten Hag interview kickstarted process on Monday.

Ten Hag could take Mitchell van der Gaag with him if got job
Mkuu upo wapi Ten Hag au Poch?
 
Conte was perfect coach for United
conte unayemzungumzia wewe ni yule mwenye maamuzi juu ya kikosi chake. rangnick alipokuja alisema wachezaji hawapaswi kutibiwa nje ya klabu, lakini siku moja kabla ya mechi ya man city CR7 alikwenda kwao. Mourinho hakumtaka martial lakini hakusikilizwa, leo hii mashabiki wa sevilla wanamzomea martial waliyempokea kwa vifijo na nderemo.rangnick alimruhusu lingard kuondoka lakini uongozi wa juu kwa kisingizio cha skendo ya greenwood walimzuia.
 
sina timu kati ya hao na hata huyo enrique, naiamini zaidi akili yangu kwa sasa ndio sahihi kuiongoza man utd kuliko akili za makocha nje ya klopp, guardiola au tuchel. teh teh teh... kwa ufupi nimevurugwa na mwenendo wa manchester united, tumeshajaribu njia tano za makocha tofauti lakini hali yetu haijawa nafuu.
hahahah tuma CV waje wakufanyie interview......japo naimani Safari hii tutapata mtu sahihi tutakaepata nae mafanikio
 
Possible next season home kit

E70C24F8-99D6-4C86-95BC-32886DBFCBFC.jpeg

C5405E79-969D-4CDA-B07B-DB02BCE17AA0.jpeg

F92B2B98-09FF-446E-9AED-D909A80AE90D.jpeg
 
Naweka wazi msimamo wangu kabisa hapa kwenye suala la kocha.
Kama asipokuja ETH au Enrique,basi nitawapisha kidogo muendelee na hii timu ili nifanye mambo mengine kwa msimu ujao.
Sijui board inaona nini kwa Poch!
kisu kwenye mfupa
 
Hivi timu nyingine hazina malegend au maana sisi ndo tumewashikilia kweli kweli mpaka inakera mda wao umeisha wapumzikee. Ila Ole alitudharau sana kila nikifikia alimpaa captain Maguire dah. Hii timu ina matatizo sana.
 
Mkuu upo wapi Ten Hag au Poch?
utambulisho rasmi wa kiuchezaji(identity) ndio jambo la umuhimu linalohitajika ndani ya klabu.pochettino alipokuwa southampton alisababisha washika dau wa mchezo wa soka waifuatilie kwa umakini sana klabu kwa sababu walikuwa na muunganiko bora unaovutia. Kazi hii kwa sasa ameshindwa kuifanya ndani ya PSG huku mwenzake akiendelea kuifanya ndani ya AJAX na hata kama atakuja man utd bado ten hag kushikilia falsafa yake. Wote tunajua mpira atakaofundisha ten hag ila ni ngumu kufahamu mpira atakaofundisha pochettino. Chaguo linabaki kwa viongozi wanataka nini.
 
Upo sahihi, na kwa kuongezea tu. Kwa vilabu vikubwa vya caliber ya Man United kocha anatakiwa kuwa na vitu vingi sana. Character yake, uwezo wake kiufundi, awe na strong mentality etc. Poch ni kocha mzuri, lakini ni midtable oriented coach.
Mpe team yenye objectives za kima cha kati, atakupa matokeo mazuri tena zaidi ya matarajio. Lakini team kama United pale as a coach objective #1 ni kushinda vikombe, haijalishi team ipo kwenye hali ngumu kwa sasa, still objective ni kusaka trophies tu, Huo ni upande wa achievements.

Upande wa pili inahitajika strong mentality kuweza ku-manage dressing room ya team kama United. Kidogo kocha awe na ukoloni flani ndo atawezana na wale watu pale. Ukiangalia kwenye CV ya Poch, watu alio-manage majority ni wanaochipukia, au wachezaji wenye avarage ability hivyo inakua rahisi to get the best out of them.

So, sijui kama itakua rahisi kwa pale United. I'd like Ten Hag, lakini kwenye issue ya management I doubt watamsumbua wale vichwa ngumu.
Choice chungu lakini ambayo inaweza kuwa na mafanikio pale OT I'd recommend Diego Simeone, in my opinion.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi timu nyingine hazina malegend au maana sisi ndo tumewashikilia kweli kweli mpaka inakera mda wao umeisha wapumzikee. Ila Ole alitudharau sana kila nikifikia alimpaa captain Maguire dah. Hii timu ina matatizo sana.
Management ya United bado ni British oriented... Muingereza yeyote kwa namna yeyote ile atapewa priority no matter what.

Mfano;

1. Why hadi leo tuna Phil Jones pale United? Ana misimu 11 lakini overall kacheza match 226 tu!

2. Why giving captaincy kwa Harry Maguire just 5 months baada ya kusajiliwa? Mind you, hakuwahi hata kuwa designated Captain before huko Leicester/ Hull City/ Sheffield Utd

3. De Gea sahivi anaonekana surplus na wanataka kumsimika Henderson kama #1 GK, waliifanya hiyo kitu last year, yes form ya DDG iliyumba, ila class is permanent na siku zote kwa GK anapofika 30 years ndo anaiva sasa zaidi, ila usishangae summer De Gea akitemwa.

Na mifano mingine mingi tu, yote kuonyesha U-British unavyotawala ile club.

No wonder top 6 teams zingine zinafanikiwa consistently kwa nafasi zao, maana decisions zinafanywa based on performance & faida ya team na sio utaifa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
conte unayemzungumzia wewe ni yule mwenye maamuzi juu ya kikosi chake. rangnick alipokuja alisema wachezaji hawapaswi kutibiwa nje ya klabu, lakini siku moja kabla ya mechi ya man city CR7 alikwenda kwao. Mourinho hakumtaka martial lakini hakusikilizwa, leo hii mashabiki wa sevilla wanamzomea martial waliyempokea kwa vifijo na nderemo.rangnick alimruhusu lingard kuondoka lakini uongozi wa juu kwa kisingizio cha skendo ya greenwood walimzuia.
Mourinho aliposema to achieve 2nd position kwenye table na ile squad 2018 was his best ever achievement, walisema ana dharau & kaishiwa mbinu, zikaundwa figisu za hatumtaki etc etc had kafukuzwa.
Sadly huo ndo ukweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom