issue ETH nae ana form mbaya hivyo hivyo, katolewa na Benfica timu ndogo na matokeo ya ligi pia si mazuri hivi mwishoni.Poch kapigwa 3 huko......kuna mawili 1. uwezo ndogo kumanage kikosi chenye majina
2. Akili yake haipo PSG tena
Zote mbili ni ishara kuwa hatufai namba 1 amepoteza important games nyingi bila sababu hasa big matches.... Namba 2 kama anashindwa heshimu mkataba wake akafocus kuwasaidia PSG, huko mbele akitaka kuondoka hali si itakuwa hii hii.View attachment 2158186
Wameshinda big match Leo kwa comeback Ajax 3 fayernood 2.....issue ETH nae ana form mbaya hivyo hivyo, katolewa na Benfica timu ndogo na matokeo ya ligi pia si mazuri hivi mwishoni.
Mimi natamani tumpate tu Enrique..hawa wengine sina imani nao kabisa..sema Enrique na hii World Cup inayokuja itakuwa ishu sana kumpata this summer.Wameshinda big match Leo kwa comeback Ajax 3 fayernood 2.....
Poch alizidiwa Sana game na Madrid, pia tactically 4-4-2 low block aliyotumia game ya leo na game kadhaa nyuma inaonesha ni defensive coach....
Pia tetesi sijui Senior players wanamtaka Poch, na Fergie nae aliishaweka wazi anamuadmire Poch
Iwe sababu ya kuachana na Poch maana hao wachezaji wenyewe hawana cha kuonekana walichofanya Kwa mwaka wa 5 huu licha ya mishahara yao alafu Leo nakocha wajichagulie pia Fergie tulimsikuliza Kwa Moyes na probably Ole, ona kilichotukuta.
Nitaenda na Ten hag, licha ya kuwa Poch sio mbaya kama inavyoonekana
Enrique ni option bora zaidi lakini aliishasema anafocus na World cup....Mimi natamani tumpale tu Enrique..hawa wengine sina imani nao kabisa..sama Enrique na hii World Cup inayokuja itakuwa ishu sana kumpata this summer.
Enrique ni perfect coach kwetu, ni mzoefu, favourite formation yake ni 4-3-3 with two tricky players pembeni ina maana watu kama Rashford, Sancho, martial etc watashine mfumo wake. Ila kumpata ni kazi, hawezi acha world cup sababu yetu.Mimi natamani tumpale tu Enrique..hawa wengine sina imani nao kabisa..sama Enrique na hii World Cup inayokuja itakuwa ishu sana kumpata this summer.
Panga linalokuja mwisho wa msimu sidhani kama kutakua na senior tofauti na Ronaldo. Pogba, lingard, mata, matic, Baily wanaweza wasiwepo kwa asilimia kubwa, Kina Martial, VDB, hatihati, kutakuwa na Rebuild kubwa.Wameshinda big match Leo kwa comeback Ajax 3 fayernood 2.....
Poch alizidiwa Sana game na Madrid, pia tactically 4-4-2 low block aliyotumia game ya leo na game kadhaa nyuma inaonesha ni defensive coach....
Pia tetesi sijui Senior players wanamtaka Poch, na Fergie nae aliishaweka wazi anamuadmire Poch
Iwe sababu ya kuachana na Poch maana hao wachezaji wenyewe hawana cha kuonekana walichofanya Kwa mwaka wa 5 huu licha ya mishahara yao alafu Leo nakocha wajichagulie pia Fergie tulimsikuliza Kwa Moyes na probably Ole, ona kilichotukuta.
Nitaenda na Ten hag, licha ya kuwa Poch sio mbaya kama inavyoonekana
Ila ni Fursa Hii Air Tanzania hawawezi kujitolea?hivi yule jamaa wa chelsea jeuri anayotuletea humu anaitoaga wapi View attachment 2158414
Kamsimamo fulani hivi View attachment 2158498