James Hadley Chase
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 2,101
- 3,866
Yaani huyu muhuni ndio watuletee Old Traford?
Si bora hata wamlete Jamhuri Kiwelu kocha wa majimaji ya Songea. View attachment 2155431



Yaani huyu muhuni ndio watuletee Old Traford?
Si bora hata wamlete Jamhuri Kiwelu kocha wa majimaji ya Songea. View attachment 2155431



Tulishavuka hiyo levelJana arsenal kapoteza point 3
Lakin humu watu hawana Furaha, uzi umegeuka matanga
Kwaio Kumbe Man Utd Angepita Angepewa Man City Si Zingekuwa Nne Zingine Zinatujia Home And AwayOfficial draw#UCL
Chelsea-Real Madrid
Manchester City-Atletico Madrid
Villarreal-FC Bayern
Liverpool-Benfica
![]()




Magwaya ana kitu Cha kipekee mashabiki hawakioni lakini makocha Wana kiona kwake.Magwaya kama kawaida timu ya taifa
Alafu anatokea mpuuzi mmoja wa majumba 7 huko, anatema shit kuhusu le captain. Fuc*k u
Timu ya malikia.Nani wa kuweza bei yake
hahahahaha morning glory hahaahaha😂😂😂😂
We fala Chelsea ana-compete nini kwenye title race?FA Cup Quarter Finals
-Chelsea
-Liverpool
-Man City
UEFA champions Quarter Finals
-Chelsea
-Liverpool
-Man City
EPL title competition
-Chelsea
-Liverpool
-Man City
Then you will hear someone say NYUMBU is the best team in England

Afadhari hata nyumbu, kuna mashabiki wa Arsenal hizi wiki za hivi karibuni wanamakelele utadhani wao ndo walio qualify kucheza robo fainali ya UCL.FA Cup Quarter Finals
-Chelsea
-Liverpool
-Man City
UEFA champions Quarter Finals
-Chelsea
-Liverpool
-Man City
EPL title competition
-Chelsea
-Liverpool
-Man City
Then you will hear someone say NYUMBU is the best team in England