Manchester United (Red Devils) | Special Thread

goli anazokosa bruno ingekuwa pogba basi kwa kelele za watu hata kocha asingekuwa na hamu ya kumpanga tena na jamaa rashford aliwekewa moja hivi na sancho nkajua kamba kapishana nayo utafkiri ye ndo beki watford
 
Leo rashford kapambana sema sancho kwa dakika alizocheza nae katuzingua muda mwingi alikua anatembea tukiwa hatuna mpira. Ila Ronaldo ni kenge nae saizi
uliona ile rashford aliyowekewa na sancho akaacha tu mpira upite na ilikuwa bonge la chance kapambana nini labda kukimbia hovyo
 
Manchester United have created 19 ‘big’ chances in their last six games — 2nd most in the league behind Liverpool (29). They have converted just five of them. Liverpool have scored 17.
 
The Premier League conversion rate for ‘big’ chances is 41-43%.

This season, it is 41.4%.
United’s conversion rate is 35.3% — the 5th worst this season behind Brighton (35.0%), Wolves (32.5%), Burnley (26.7%) and Norwich (25.0%).
 
Rangnick: "Five massive chances in the first half, three in the second. Sometimes we were unlucky like when Cristiano Ronaldo hit the post but we had one on one opportunities.

This is not luck, this is sharpness, efficiency and being clinical."
 
Kanuni ni kwamba 'You do not change your winning team'

Mara nyingi Origi, jota au Minamino wamemuokoa klopp lakini first 11 yake ni ile ile.

Emile kaiokoa sana Arsenal akitokea sub ila first 11 inajulikana na namba ya Emile inajulikana nani atakaa.

Elanga kuscore kunawavutia mashabiki na kuhisi anatakiwa kuanza, sasa ni kivipi Elanga anaanza mbele ya Sancho? Rangnickelodion anayumbishwa na kelele za nje akisikia wanataka Elanga aanze anamuanzisha tu anaacha kikosi kilichompa ushindi games mbili mfululizo.

Kocha ni kiazi.
 
tena kiazi mbatata😂😂😂
kwani nyie arse8 munatofauti gani na manure? kwani na ninyi munaitaka top four?
 
Kanuni ni kwamba 'You do not change your winning team'

Mara nyingi Origi, jota au Minamino wamemuokoa klopp lakini first 11 yake ni ile ile.

Emile kaiokoa sana Arsenal akitokea sub ila first 11 inajulikana na namba ya Emile inajulikana nani atakaa.

Elanga kuscore kunawavutia mashabiki na kuhisi anatakiwa kuanza, sasa ni kivipi Elanga anaanza mbele ya Sancho? Rangnickelodion anayumbishwa na kelele za nje akisikia wanataka Elanga aanze anamuanzisha tu anaacha kikosi kilichompa ushindi games mbili mfululizo.

Kocha ni kiazi.
Kila kocha na mitazamo yake kwasababu Klopp anafanya hivyo siyo lazima kila kocha afanye.

Yani kwasababu ya draw ndiyo mnasema yote haya? Football ndiyo iko hivyo hakuna timu inaweza kushinda kila mechi kwasababu uwanjani hamchezi peke yenu.
 
Kama nimekuelewa vizuri ni unamaamisha ni sahihi kocha akiwa hana starting 11 as long as ni mtazamo wake.
 
Back
Top Bottom