hata waliopo ukraine wanafurahia kucheza kwa manchester united. banterManchester united inacheza leo na dunia nzima ina furaha
Kila napo pita watu wanafurahi kweli kweli.![]()
Hee mzee itawafariji leohata waliopo ukraine wanafurahia kucheza kwa manchester united. banter
Huyu Gaidi mzungu Acha abanwe amesababisha vifo vya watu wengi Kwa tamaa ya pesaTunawasaidiaje wenzetu Chelsea, Tajiri wao amebanwa wataanza kulialia na bakuli kama Yanga View attachment 2130634
Leo nimepita hospitali ya Muhimbili kila unaepishana nae usoni anatabasamu, kuingia wodini kila mgonjwa anatabasamu tu, mara kapita nesi nae anafuraha kama yote kumuuliza nini sababu ndio akafunguka kua leo Manchester inacheza, akanidokeza kua siku Man U ikicheza wagonjwa hua hawaombi hata panadol maana kitendo cha United kua uwanjani tu wagonjwa huwa wanapata relief.Manchester united inacheza leo na dunia nzima ina furaha
Kila napo pita watu wanafurahi kweli kweli.![]()
Itakuwa NI mirembe hyo na sio muhimbiliLeo nimepita hospitali ya Muhimbili kila unaepishana nae usoni anatabasamu, kuingia wodini kila mgonjwa anatabasamu tu, mara kapita nesi nae anafuraha kama yote kumuuliza nini sababu ndio akafunguka kua leo Manchester inacheza, akanidokeza kua siku Man U ikicheza wagonjwa hua hawaombi hata panadol maana kitendo cha United kua uwanjani tu wagonjwa huwa wanapata relief.
Hii timu leo imepangwa na Mashabiki.
Furaha ipo had UkraineManchester united inacheza leo na dunia nzima ina furaha
Kila napo pita watu wanafurahi kweli kweli.![]()

Umechoka kujiongelesha naona mkuu.Timu la mashetani ,mbaya zaidi halina bahati![]()