Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,384
Next match tunakutana na Watford, subiri muone kipigo watakachochukua
Oh! Tumemmiss sana leo.Cavani ana groin injury.
Shauri yenu bhana mtajijua wenyeweKwanini Cavani hakuwepo? Asingeacha chances zote zile.
Mkuu umeangalia mechi kweli?? Ronaldo ndo aache mpira ni mzigoHivi hakuna namna Rashford akaachana na mpira
Hata akiacha ana hasara gani kashinda kila kitu huyo Rashford charity zinamfaa sana.Mkuu umeangalia mechi kweli?? Ronaldo ndo aache mpira ni mzigo
Ronaldo? Za kichwa
Fernandes? Za Kichwa
Rashford? Za kichwa
Woyoo
Woyoo
Woyoo


Hii ndio moja ya fallacy kubwa kwenye mchezo wa mpiraYaani kila nikikumbuka kuwa RR alitoa viungo wote wakabaji na kuingiza wachezaji wa kushambuli na bado tukashindwa kupata goli nabaki nashangaa tuu
Tuwahi kanisani sioMkalale sasa kesho muwahi kuamka mapema, shit!