Chance zinatengenezwa and no one is ready to take it.Tatizo la man u watu ni mabishoo, hawapambani kiume kulazimisha ushindi. Wanachelewesha mapira wakiwa kwenye mashambulizi mengi
Hampo siriazi lafa nyinyiMpo siriazi nyie au
Unadhani nani anapaswa kupewa pongezi aliyepaki basi au aliyeshindwa kufunga magoli.
Kwanini Cavani hakuwepo? Asingeacha chances zote zile.Dah,, hii inaenda kuwa sare.
Tunakosa magoli ya wazi kabisa.
Namba tisa ya Ronaldo bora angekuwepo Greenwood tu
Cavani ana groin injury.Kwanini Cavani hakuwepo? Asingeacha chances zote zile.