The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Mzee mzee vipi tena??
Copied.Mzee mzee vipi tena??
Sasa kocha kapewa timu kwa muda na wachezaji waliopo wala siyo sajili zake unategemea atakuwa na first 11 yake?Kama nimekuelewa vizuri ni unamaamisha ni sahihi kocha akiwa hana starting 11 as long as ni mtazamo wake.
Pamoja broSasa kocha kapewa timu kwa muda na wachezaji waliopo wala siyo sajili zake unategemea atakuwa na first 11 yake?
Hizo mada unazotaka kuleta ni za kishabiki tu, angeweza kuanza Sancho na mechi ingeisha 0 - 0 vilevile.
[/QUOTE]Anafanya rotation ana mechi ngumu sana wiki 2 hizi mnataka wacheze hao kila siku?? Na timu haijacheza vibaya wamepoteza tu nafasi nyingi.Rangnickelodion anayumbishwa na kelele za nje akisikia wanataka Elanga aanze anamuanzisha tu anaacha kikosi kilichompa ushindi games mbili mfululizo.
Kocha ni kiazi.
bora ile pen ya de gea huyu kazidishaWalicheka sana siku ile. Kweli 'Karma' is a b*tch.View attachment 2133393

Usifananishe hili uropa na carabao.Walicheka sana siku ile. Kweli 'Karma' is a b*tch.View attachment 2133393



Na Fletcher kasema",Magwaya Le captain ataanza"Haki ya Mungu hamna bahati kumbe next week mnakuja Etihad
Alooooooooooh alooooooh .....
.
Tunapenda kjifarijitokea ralf rangnick awe kocha wa manchester united hakuna timu iliyoizidi manchester united kwa kutengeneza nafasi za magoli, lakini timu nne zimeizidi manchester united kwa kufunga magoli

Yani toka ralf aje kuna utofauti mkubwa Sana sema uyum mzee anaangushwa sana na strike yetu ila mbinu anazo tusiwe wanafiki.tokea ralf rangnick awe kocha wa manchester united hakuna timu iliyoizidi manchester united kwa kutengeneza nafasi za magoli, lakini timu nne zimeizidi manchester united kwa kufunga magoli
Manchester wanajitekenya halafu wanacheka wenyeweTunapenda kjifariji![]()
Ina maanisha nini?tokea ralf rangnick awe kocha wa manchester united hakuna timu iliyoizidi manchester united kwa kutengeneza nafasi za magoli, lakini timu nne zimeizidi manchester united kwa kufunga magoli