Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Yani toka ralf aje kuna utofauti mkubwa Sana sema uyum mzee anaangushwa sana na strike yetu ila mbinu anazo tusiwe wanafiki.
Kati ya Cr7 na Muagentina Bora awe ana warotate..na au bora ahezeshe 4 1 3 2

Cr7. Elanga

Pogba. Bruno. Rashford.

Matic

Shaw Jones. Verane. Bissaka.

Cavani. . Elanga

Pogba. Bruno. Rashford.

Matic

Shaw Jones. Verane. Bissaka.

. Elanga sancho

Pogba. Bruno. Rashford.

Matic

Shaw Jones. Verane. Dalot.

Aweke mbali Maguire
 
Mdogo mdogo mnapoteana kwenye ulimwengu wa machampion ....

Hata Liverpool alianza hivi na hakuamini kama amepoteana
 
Tunapitia mateso, hata Yesu hajakumbana nayo pale msalabani.
Ila yana mwisho.

Tuliaminishana kua tatizo ni Sorkajaer, tumemtimua na sasa tuna professor, lakini hali imekua mbaya zaidi ya awali.

Ronaldo wa sasa ni bora umuangalie Mayele tu, sijui kwanini kocha anamuamini?
 
Shida co Ronaldo mkuu shida ni timu nzima imepoteza Ari na kujiamini, kama Ronaldo hafungi kina Bruno c wapo? Wafunge basi lkn waapii, kipindi hiki hata aje mchezaji gani hawezi kufaulu pale mpk hiki kipindi kiishe, ss haijulikani kitaisha lini au ndiyo baba Jeni.
 
Mkuu napingana na wewe....yani unasema hata aye mchezaji gani hawezi fan ikiwa hivi unauhakika zile chance anazokosa Ronaldo Halland na Lewandowski watakosa?

The issue kuhusu Ronaldo ni amekwisha zama zake zimeishapita, hatuwezi kumtegemea tena....tungekuwa na striker decent tungekuwa mbali ......

The fact kuwa America mzigo hakabi, hapless hata kidogo, anapoteza chances za wazi, anapoteza mipira haipaswi afumbiwe macho....the man is finished.....shida ya kwanza sahizi katika kibosh chetu ni Ronaldo kuna Anna ya mpira hatuwezi cheza sababu tunacheza 10 uwanjani
 
Utawasikia wapinzani wanatuita nyumbu na majina kibao kibao, cjui huwa wanamaanisha nn aisee.
 
Ronaldo aende marekani.

United inahitaji kusuka striking force upya.

Huwezi tengeneza nafasi 90 upate goli 10 tu.
 
Yani saizi tuna angushwa sana na strike maana saizi sisi ndo timu inayoongoza kwa kutengeneza nafasi pale England.
Screenshot_20220302-074237.jpg
 
Back
Top Bottom