Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,300
- 46,749
Dalot tulidhani atasaidia offensively lakini hakuna cha maana anachofanya..krosi za ajabu ajabu tu anapiga..na kukaba+ positioning tunajua sio wa daraja la juu.Mechi zote hizo mbili kama Shaw angetuliza mat*ko zingekuwa offside badala yake kafanya watu wawe onside. Kuanzia mechi ijayo inatakiwa Maguire na Shaw wakae bench.
Umakini ndiyo kitu mabeki wetu wanakosa. Mtu mwingine wa kuangalia ni Dalot ni heri acheze Bissaka kwa hali tuliyonayo kama tuna uwezo wa kufunga goli moja tu kila mechi basi tunahitaji watu wa kulilinda.
Shaw ni jipu..ana the worst positioning intelligence ever.
tulikua tunafungwa goli 4 mfululizo mechi zake za mwisho leo wanasema tulikua hatufungwi sana.