Watu wasahaulifu sana leo wanamsifia Ole

tulikua tunafungwa goli 4 mfululizo mechi zake za mwisho leo wanasema tulikua hatufungwi sana.
Hii timu nionacho matatizo hayawezi kwisha labda ni nature sijui inaamua ila siioni ikisimama tena kwa sasa ni project ya miaka angalau mi4 mbele tena ya kocha wa kueleweka na wachezaji tofauti na waliopo,
jana mpaka tunafungwa Rashford anafanya jogging tu hakabi mpaka mtangazaji ameliongelea tuna wachezaji wavivu sana haiwezekani first half mcheze vizuri sec half mnaharibu tuseme ni mwalimu hata aje pep hapo hao mastaa wetu hawataki kubadilika na wameamua kucheza simple football zao za ole.