Tunaweza tusiingie ndio ila haimaanishi chelsea ni Favourite.
Toka tutoke draw na Chelsea, wamecheza mechi 10, wameshinda 3 tu, draw 5 na wamepoteza 2. Inamaana Out of possible point 30 wamepata 14 wamepoteza 16
Source ligi ya uingereza
View Chelsea scores, fixtures and results for matches played in all competitions, on the official website of the Premier League.
www.premierleague.com
At same Time man united kacheza mechi 8 toka mechi ya chelsea. Tumeshinda mechi 4, tumefungwa 1 na kutoka draw 3. Tumepata point 15 out of possible 24.
Source ligi ya uingereza.
View Manchester United scores, fixtures and results for matches played in all competitions, on the official website of the Premier League.
www.premierleague.com
Hivyo mkuu na ubovu wetu huu ila bado tumepata point nyingi (15) kuliko chelsea (14) japo tumecheza mechi chache.
Kinachomsaidia chelsea ni kwamba alianza ligi vizuri ila kwa mwendo huu akiendelea nao, ataongeza point 22 tu (average point 1.4 kwa mechi) kwa point zake za sasa 43 anaweza kupata point 65 ambazo si rahisi kuingia top 4.
Na kama Man U naye ataendelea na mwendo hui huu (1.875 point) atapata point 34, hivyo kumaliza na point 66, Nazo pia Ngumu kuingia top 4,
Unless timu zote mbili zinacheza vizuri hii round ya Pili pengine Spurs na Arsenal/west ham wanaweza wakawapiku.