Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

😛😛😛😛😛
hii timu iliwahi kumpa alex sanchez mshahara wa paundi laki 5
1642430995174.png
 
Mkuu mashabiki wengi humu tuliaminishwa hivyo kuwa Sancho (right wing) is the missing piece of the puzzle hadi tuka risk nafasi ya kiungo kwa ajili yake.
Mpaka leo nakuhakikishia uingereza ya sasa hakuna wachezaji. Wachezaji wa callibre ya kina Rooney, Lampard, Scholes haipo tena.

Sahivi wapo walamba midomo wanaohitaji mishahara mikubwa. Hasa wakiwa United ndo kwaheri, kiwango kinakufia mbali.

Siku tuliyohusishwa na Sancho nikajua hakuna kitu. Wastage of money and fans expectations.
 
hili swali linapaswa kujibiwa na murtough pamoja na fletcher kwa sababu wao ndio wenye jukumu la kushape structure ya timu ndani ya uwanja. bahati mbaya mpaka sasa sijawahi kukutana na interview yeyote inayomuhusu murtough inayojaribu kuzungumzia mikakati yake akiwa kama director.

mpaka muda huu hatujajua tunataka kucheza mpira upi msimu ujao kwa sababu makocha tunaovumishiwa wana mikakati tofauti
Mortough ni Ole nyuma ya pazia.

He's incompetent. Na ukiongeza na uingereza wake, usitarajie tukapiga hatua.

Takataka za kingereza zitajazana hapo Carrington, mpaka mshindwe kuzimanage.

Unaambiwa Lingard ndo anaongoza mgomo hapo Carrington.
 
😛😛😛😛😛
hii timu iliwahi kumpa alex sanchez mshahara wa paundi laki 5
View attachment 2085123
Ila Mkuu hio mishahara mingi hapo ina Include bonus na takataka kibao ambazo sio kila wiki mchezaji anazifikia, usiamini sana Hizo data.

Mfano ili sanchez apate mshahara wote Kamili inabidi acheze mechi mbili kwa wiki, Moja iwe champions league, afunge, Acheze dk 90 etc. Appearence fee tu ilikuwa ni pound 75000.
 
Mortough ni Ole nyuma ya pazia.

He's incompetent. Na ukiongeza na uingereza wake, usitarajie tukapiga hatua.

Takataka za kingereza zitajazana hapo Carrington, mpaka mshindwe kuzimanage.

Unaambiwa Lingard ndo anaongoza mgomo hapo Carrington.
United inaendeshwa kishkaji sana kuanzia uteuzi wa viongozi (Murtough na Fletcher) hadi recruitment ya wachezaji (Jones,Lingard,Shaw,AWB,Maguire,Rashy,etc).
 
Mortough ni Ole nyuma ya pazia.

He's incompetent. Na ukiongeza na uingereza wake, usitarajie tukapiga hatua.

Takataka za kingereza zitajazana hapo Carrington, mpaka mshindwe kuzimanage.

Unaambiwa Lingard ndo anaongoza mgomo hapo Carrington.
I disagree mkuu, For the first time toka Fergie Aondoke usajili uliopita ulikuwa smooth mapema tu Tulimaliza Deal la Varane na Sancho, Pia kwa Bei za kawaida, Kumpata mchezaji kama Varane kwa around 30M si jambo dogo.

Pia usajili wa Ronaldo ulienda vizuri. Kwa Role yao nje ya uwanja walikamilisha ipasavyo, tumefeli tu namna ya Kuwatumia hao tuliowasajili.

Na Murtough ndio Amerecomend ujio wa Ragnick, kama watadelegate maamuzi yote kwa Murtough ipo hope mbele ya safari.
 
Tunaweza tusiingie ndio ila haimaanishi chelsea ni Favourite.

Toka tutoke draw na Chelsea, wamecheza mechi 10, wameshinda 3 tu, draw 5 na wamepoteza 2. Inamaana Out of possible point 30 wamepata 14 wamepoteza 16

Source ligi ya uingereza

At same Time man united kacheza mechi 8 toka mechi ya chelsea. Tumeshinda mechi 4, tumefungwa 1 na kutoka draw 3. Tumepata point 15 out of possible 24.

Source ligi ya uingereza.

Hivyo mkuu na ubovu wetu huu ila bado tumepata point nyingi (15) kuliko chelsea (14) japo tumecheza mechi chache.

Kinachomsaidia chelsea ni kwamba alianza ligi vizuri ila kwa mwendo huu akiendelea nao, ataongeza point 22 tu (average point 1.4 kwa mechi) kwa point zake za sasa 43 anaweza kupata point 65 ambazo si rahisi kuingia top 4.

Na kama Man U naye ataendelea na mwendo hui huu (1.875 point) atapata point 34, hivyo kumaliza na point 66, Nazo pia Ngumu kuingia top 4,

Unless timu zote mbili zinacheza vizuri hii round ya Pili pengine Spurs na Arsenal/west ham wanaweza wakawapiku.
We jipe matumaini Kwa hizo hesabu zako .... We Una uhakika gani hizo timu zote zitaenda na kupata hizo expected points

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
katika hao wachezaji 800 waliofanyiwa utafiti, hapakuwepo mchezaji mwenye ukamilifu?
hilo ndilo swali la kujiuliza
Mkuu kwanza ufahamu Kocha hana last say, hasa Man Utd anaweza akasikilizwa ila sio lazima.

Hakuna ushahidi 100% chaguo la kwanza la Ole ni AWB, kocha anaweza akapunguza shortlist mpaka wachezaji 5 ama 10 then wakamaliza wenyewe,

Na ni ngumu kukuta fullback mzuri kushinda Awb kwa anachofanya, jamaa katop fullback wote kwenye defensive na ni defensive midfielder wachache sana ambao wapo level yake kwenye issue za 1vs 1 na stast nyengine defensive wise kama Tackling, Blocking, pressure, interception etc.

We mwenyewe unamjua na unajua mawinga wangapi aliwaweka mfukoni.
 
Fergie aliwahi kum recomend huyu jamaa muda kidogo. Sio mbaya kwa Squad player hasa Vile Lingard, Mata, Pogba na Pengine VDB wakaondoka. Tutahitaji Midfielder angalau watatu.
ferguson anawapenda wachezaji mfano wa mcginn kutokana tabia zao za kujitoa kwa nguvu zao zote kuipigania timu, utiifu wao pamoja na nidhamu yao ya kiuongozi. kwa changamoto zetu sisi tunahitaji pia ufundi wa mchezaji ushabihiane na sifa hizo nilizozitaja na nyenginezo. kwa mfano fergie pia anampenda mctominay kwa sababu naye amejawa na sifa hizo lakini tukiangalia kiwango chake cha uwanjani hakiendani na level ya timu anayoitumikia. kwangu mimi nidhamu iwepo pamoja na ufundi kama alivyo rodri au gundogan
 
ferguson anawapenda wachezaji mfano wa mcginn kutokana tabia zao za kujitoa kwa nguvu zao zote kuipigania timu, utiifu wao pamoja na nidhamu yao ya kiuongozi. kwa changamoto zetu sisi tunahitaji pia ufundi wa mchezaji ushabihiane na sifa hizo nilizozitaja na nyenginezo. kwa mfano fergie pia anampenda mctominay kwa sababu naye amejawa na sifa hizo lakini tukiangalia kiwango chake cha uwanjani hakiendani na level ya timu anayoitumikia. kwangu mimi nidhamu iwepo pamoja na ufundi kama alivyo rodri au gundogan
Mkuu nafkiri balance pia ni muhimu. Mc tominay hatakiwi awe key player wetu ila tunamuhitaji mchezaji wa Aina yake kwenye mechi fulani fulani.

Hata pep ana struggle kwenye mechi fulani fulani kutokana na midfield yake kutokuwa na steel refer ucl final ama Against us under Ole.

Kama una Deep lying playmaker ama DM mwengine ambayo yupo vizuri kwenye pasi na kutengeneza nafasi watu kama Pirlo, Alonso, Bosquet etc unacheza na Mid mwengine Box to box kama Fred ama Mctominay na AM ama 10 kama Bruno.

Its all about Balance.
 
Ole uwezo wake ndio ulikuwa umeishia pale, yaani kiwango chake kilifikia mwisho pale hakuna kitu tungepata hata angepewa miaka 5 zaidi ya The boys did their best
Ni kweli, tuone Basi viwango vya makocha wengine , vinginevyo Ni pwagu na pwaguzi..
 
Watoto wameshaanza kujipambanua
Bado Rashford naye atajitokeza
Ugonjwa wa Manure ndio huo Ole aliwabembeleza sana
MOU alipotaka kuwabana watoto walishinda akatimuliwa
Ole kaja mbembelezaji kaendana nao akashindwa
Huyu kocha anachotakiwa ni kuwauza au kuwaweka benchi mpaka akili zao zikomae
Tatizo hata akiwaweka bench bado timu haufanyi vizuri , yaani wanaopewa nafasi ya kucheza hawatumii vizuri hiyo opportunity kwa maslahi yao na ya timu.
 
Back
Top Bottom