Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

tutachezeshwa ngoma za kiengereza mpaka tudemke,
muandishi wa hii makala ni TIER 1 kwa taarifa zinazoihusu manchester united, ngoja niitafute short summary kule reddit baadae nitaiweka hii makala.
1642427665503.png
 
kama tutamuondoa anthony martial na baadae nafasi izibwe na Jarrod Bowen, sitochukia licha ya kwamba ni muingereza.
tusije tukaruhusu huyu kijana kuingia kwenye mikono ya klopp na work rate hii alionayo
 
kumbe huku wameiweka hii taarifa, niliwahi kusoma sehemu kipindi kile cha dirisha la usajili.
darren fletcher ndiye anayevutiwa na huyu mchezaji
View attachment 2085059
Fergie aliwahi kum recomend huyu jamaa muda kidogo. Sio mbaya kwa Squad player hasa Vile Lingard, Mata, Pogba na Pengine VDB wakaondoka. Tutahitaji Midfielder angalau watatu.
 
Ila Bruno anastahili bado anakula Mshahara mdogo.
kumlipa dean henderson mshahara wa paundi laki moja kwa wiki ni makosa makubwa sana.
kuna umuhimu wa klabu kuangalia upya njia yao ya kufanya makubaliano na wachezaji, hii tabia ya kusubiria mwaka wa mwisho wa mchezaji muhimu huja na msukumo mkubwa sana wa kupigwa dau kubwa na mawakala wa wachezaji
 
Ndugu zangu tunakwenda kuibiwa tena. Unaambiwa viongozi waandamizi wa klabu wanawahitaji zaidi declan rice na jude bellingham ambao kwa pamoja thamani zao zinaweza kufikia paundi million 150. Ralf anamuhitaji haidara lakini hakuna mchakato wowote ulioanza na sababu kubwa wenye nguvu zao wanalichukulia dirisha hili kuwa ni gumu kufanya biashara. Kuhusu denis zakaria haonekani kuwa ni sehemu ya mipango ya klabu. Habari ndio hiyo.
Mpaka leo sitamsamehe aliekuwa anatuaminisha Sancho akija United tutachukua ubingwa.
 
Wakati tunaanza msimu wa 2021/22 united fans wengi tulijua madhaifu yetu ni sehemu ya kiungo na kukawa na tetesi nyingi sana zikituhusisha na Ruben Neves. Lakini dirisha likafungwa bila kusajili kiungo yeyote halafu Ole akadai yuko comfortable na waliopo kikosini.
Man utd ni kama huwa hatujitathimini ili kufanya maboresho kulingana na uhitaji.
Man Utd ya sasa ni sawa na mtu hana chakula nyumbani ila anatumia hela yote kununua vocha.
 
United bado kuna shida. Tunafahamu RR ni mwalimu wa mpito,lakini kwanini sajili zinafanywa na Fletcher tena kwa kigezo cha uongozi badala ya ubora uwanjani?
Je,akija Poch/Ten Hag akasema hawaendani na mfumo wake tutafanyaje? Au ndio kumwambia afanye kazi na resource iliyopo kisa wao walishatapanya pesa?
hili swali linapaswa kujibiwa na murtough pamoja na fletcher kwa sababu wao ndio wenye jukumu la kushape structure ya timu ndani ya uwanja. bahati mbaya mpaka sasa sijawahi kukutana na interview yeyote inayomuhusu murtough inayojaribu kuzungumzia mikakati yake akiwa kama director.

mpaka muda huu hatujajua tunataka kucheza mpira upi msimu ujao kwa sababu makocha tunaovumishiwa wana mikakati tofauti
 
Ole bonge la kocha shida kw wachezaj alafu kocha hapo ana saut team inaamuliwa na weng kuna wachezaj wengine ole akuwahitaj alilazimishwa matatizo nd yakaanzia hapo
 
Back
Top Bottom