Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nimefarijika.

Japo source sio reliable.
20220118_223830.jpg
 
hizo ndizo simulizi uzipendazo zinazowahusu watoto wa malkia. Luke shaw tokea tumsajili takribani miaka 7 nyuma amekuwa na msimu mmoja tu ulio bora zaidi, hata ralf siku za nyuma huko kabla haijakuwepo nia ya kufundisha manchester united aliwahi kumponda.
Nafurahi mno.

Nafurahi kwasababu, wanakuzwa kuliko uhalisia.

Bei za kuwanunua ni mara 4 au 5 ya thamani zao halisi.

Mishahara wanayolipwa ni mara 3 ya wanayotakiwa kulipwa kiuhalisia.

Na wakija United ndo wamefika, no more motivation to move forward. Ukiwakazia, wanaanza kulalamika kocha afanyiwe figisu atimuliwe.

Kati ya makosa makubwa Man Utd inayafanya, ni kutukuza haya matakataka ya kingereza.

Bora wawe wanatoka accademy tu.
IMG-20220118-WA0058.jpg
 
Nafurahi mno.

Nafurahi kwasababu, wanakuzwa kuliko uhalisia.

Bei za kuwanunua ni mara 4 au 5 ya thamani zao halisi.

Mishahara wanayolipwa ni mara 3 ya wanayotakiwa kulipwa kiuhalisia.

Na wakija United ndo wamefika, no more motivation to move forward. Ukiwakazia, wanaanza kulalamika kocha afanyiwe figisu atimuliwe.

Kati ya makosa makubwa Man Utd inayafanya, ni kutukuza haya matakataka ya kingereza.

Bora wawe wanatoka accademy tu.View attachment 2087283
Kiasi timu imespend na review ya kocha inaweza sababisha timu ya usajili kutimuliwa, deal ya Pepe kwa Arsenal ilikula baadhi ya vichwa baada ya kuonekana mbona hana performance iliyotarajiwa kuja kuchunguza ndiyo yakaibuka mambo ya 10%
 
Chief-Mkwawa huyu jamaa lembu bado anakuja na hesabu zake matokeo ya jana ya chelsea amekupa kweli?
Nyie hampaswi hata kuongea, mtazidi kujiaibisha, hata Chelsea ikiendelea kuwa na matokeo mabay tuko mbali na ninyi. Hiki ndicho msimamo wangu na nimepost kule kwetu. Manure msipoangali hata Conference hamtaiona
1642571836802.png
 
View attachment 2087571
Nilichoandika mimi na ulichopost wewe ni kile kile, unachelewa tu kuelewa.
 
Back
Top Bottom