Rashford haondoki sababu ni Man u ndani nje labda tuwe hatumtaki. Na Martial Tayari deal la sevilla limekamilika Tabu ipo tu Makubaliano baina Ya Man U na Sevilla.
huyu ralf rangnick amekukosea nini mkuu, teh teh teh, unamsingizia kwa jambo asilokuwa na maamuzi nalo. Kwa ufahamu wangu Masharti yaliopo juu ya dili la martial hayajawekwa na rangnick. Klabu inataka pesa na vile vile gharama za mshahara zibebwe na klabu husika na tatizo lipo hapo. Hata dili la tuanzebe aliyepelekwa napoli lipo hivyo ambapo wao wamelipa paundi laki 4 itakayofikia paund million 1 ila itategemea na mchango wake.
Ndugu zangu tunakwenda kuibiwa tena. Unaambiwa viongozi waandamizi wa klabu wanawahitaji zaidi declan rice na jude bellingham ambao kwa pamoja thamani zao zinaweza kufikia paundi million 150. Ralf anamuhitaji haidara lakini hakuna mchakato wowote ulioanza na sababu kubwa wenye nguvu zao wanalichukulia dirisha hili kuwa ni gumu kufanya biashara. Kuhusu denis zakaria haonekani kuwa ni sehemu ya mipango ya klabu. Habari ndio hiyo.

View Chelsea scores, fixtures and results for matches played in all competitions, on the official website of the Premier League.
www.premierleague.com
At same Time man united kacheza mechi 8 toka mechi ya chelsea. Tumeshinda mechi 4, tumefungwa 1 na kutoka draw 3. Tumepata point 15 out of possible 24.
View Manchester United scores, fixtures and results for matches played in all competitions, on the official website of the Premier League.
www.premierleague.com
Hivyo mkuu na ubovu wetu huu ila bado tumepata point nyingi (15) kuliko chelsea (14) japo tumecheza mechi chache.
Kinachomsaidia chelsea ni kwamba alianza ligi vizuri ila kwa mwendo huu akiendelea nao, ataongeza point 22 tu (average point 1.4 kwa mechi) kwa point zake za sasa 43 anaweza kupata point 65 ambazo si rahisi kuingia top 4.
Na kama Man U naye ataendelea na mwendo hui huu (1.875 point) atapata point 34, hivyo kumaliza na point 66, Nazo pia Ngumu kuingia top 4,
Unless timu zote mbili zinacheza vizuri hii round ya Pili pengine Spurs na Arsenal/west ham wanaweza wakawapiku.
Ndugu zangu tunakwenda kuibiwa tena. Unaambiwa viongozi waandamizi wa klabu wanawahitaji zaidi declan rice na jude bellingham ambao kwa pamoja thamani zao zinaweza kufikia paundi million 150. Ralf anamuhitaji haidara lakini hakuna mchakato wowote ulioanza na sababu kubwa wenye nguvu zao wanalichukulia dirisha hili kuwa ni gumu kufanya biashara. Kuhusu denis zakaria haonekani kuwa ni sehemu ya mipango ya klabu. Habari ndio hiyo.
Kuna fan alishauri badala ya Jude na Rice ambao wanapatikana kwa 150M,unaweza kuwapata viungo watatu kwa kiasi chini ya hapo.
Haidara,Neves na Tchouameni.
Kuna fan alishauri badala ya Jude na Rice ambao wanapatikana kwa 150M,unaweza kuwapata viungo watatu kwa kiasi chini ya hapo.
Haidara,Neves na Tchouameni.
Wakati tunaanza msimu wa 2021/22 united fans wengi tulijua madhaifu yetu ni sehemu ya kiungo na kukawa na tetesi nyingi sana zikituhusisha na Ruben Neves. Lakini dirisha likafungwa bila kusajili kiungo yeyote halafu Ole akadai yuko comfortable na waliopo kikosini.
Man utd ni kama huwa hatujitathimini ili kufanya maboresho kulingana na uhitaji.
pengine siku za mbeleni bwana Ole anaweza kujitokeza hadharani kwa dhumuni la kuzungumzia usajili wa donny van de beek, pengine hicho cha chanzo cha taarifa kitakuwa ni danganyifu,
kwa sasa acha tuendelee kuamini ya kwamba Ole gunnar solskjaer ndiye aliyependekeza usajili wa donny na baada ya kumsajili ndipo akagundua ya kwamba mchezaji husika haendani na soka la kiengereza
au nasema uongo ndugu zangu?
hii timu ya manchester united ina upumbavu mwingi sana.
kuna makala moja niliisoma hapo juzi inamuhusu ed woodward, mwenyewe anasema katika jambo linalomuumiza zaidi ni kushindwa kwake kumpa support ya kutosha david moyes na mpaka kufikia hatua ya kumfukuza baada ya miezi takribani 7 ya kumuajiri.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.