Mbona unakimbia hojaKazi hajasomea.
Kafundishwa na Ralf.
Wote wana kelele
No sijaikimbia nimesema nilichokiona. Umesema alichosema kocha wenu which means yeye ndiye atakua sahihi kushinda mimi sasa nikiendelea kusema siyo hivyo si nitakua kichaa?Mbona unakimbia hoja
HATER @ his best....Tuchel alibadiri Mzee Acha chuki sasa duhChelsea kacheza 4 2 2 2?
Naomba nitajiwe mawinga walikua nani na nani na ST mwingine ukiacha Lukaku alikua nani.
Tuchel hajawahi kubadili formation akashinda. Alibadili akafa tano akabadili akasuluhu Spurs wachovu ndiyo wamemsaidia kujishindilia jiti

Hivi vinega ukiandika kitu kisichowapamba wanakimbilia kukuita hater kwani mbona mna inferiority complex nyinyi? Mmoja naye katoka kusema hivyo hivyo yaani mpo kama kasuku mmefundishwa neno moja tu na halihusiani na mpiraHATER @ his best....Tuchel alibadiri Mzee Acha chuki sasa duh![]()
Wewe NI hater hakuna cha inferiority complex wala nn....comment zako kibao zinajieleza...ni hayo TuHivi vinega ukiandika kitu kisichowapamba wanakimbilia kukuita hater kwani mbona mna inferiority complex nyinyi? Mmoja naye katoka kusema hivyo hivyo yaani mpo kama kasuku mmefundishwa neno moja tu na halihusiani na mpira
No. Hua mnazurura majukwaa ya watu kuwaita takataka na hua hatukimbilii kuwaita hater badala yake tunajibu hoja. 😂😂😂 Wewe umeopt kuita watu hater? Ajabu na kweli hiiWewe NI hater hakuna cha inferiority complex wala nn....comment zako kibao zinajieleza...ni hayo Tu
vichwa chini kama wamelazimishwa yani.Mechi yetu na Wolves wachezaji wetu waliingia uwanjani wakiwa hoi bin taaban
Hawafundishiki hawa, angekuwa Arsene Wenger angeingia kwenye academy safi akaibua vijana wake wawili watatu na kuwatia benchi hawa mazafantazView attachment 2071423
Kwahiyo ukifundishwa hakuna kusoma!?Kazi hajasomea.
Kafundishwa na Ralf.
Wote wana kelele
Klabu ya Manchester united imeripotiwa kumpa mkataba wenye ofa ya mshahara wa £500k kwa wiki kiungo paul pogba,ambapo pogba akisaini mkataba huo atakuwa ni mchezaji anayelipwa zaidi katika historia ya ligi kuu uingereza.[@MailSport ]Hivi kwani siyo Ronnie anapokea £510k per week?Klabu ya Manchester united imeripotiwa kumpa mkataba wenye ofa ya mshahara wa £500k kwa wiki kiungo paul pogba,ambapo pogba akisaini mkataba huo atakuwa ni mchezaji anayelipwa zaidi katika historia ya ligi kuu uingereza.[@MailSport ]









Ushuzi mtupu..Klabu ya Manchester united imeripotiwa kumpa mkataba wenye ofa ya mshahara wa £500k kwa wiki kiungo paul pogba,ambapo pogba akisaini mkataba huo atakuwa ni mchezaji anayelipwa zaidi katika historia ya ligi kuu uingereza.[@MailSport ]

