Ronaldo ni kirusi .....
Yeye anapigania kuweka takwimu vzuri ,hata kma club isiposhinda chochote ,takwimu zake zinambeba...
Badala team icheze as a team inamnufaisha mtu mmoja Ronaldo (kuscore )...
Unaweza kujua kwanini Juventus ilikuwa inastruggle wakati ukiaangalia takwimu za Ronaldo zina tishaa...
inahitaji akili ya ziada kujua kuwa wachezaji hawana morali kwa sababu ya Ronaldo ,...hawachezi kitimu ,Wanacheza kumnufaisha Ronaldo ....
Mnapoelekea timu inaweza maliza nje ya top four lakin Ronaldo ni top scorers epl [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]...lakini mashabiki wa man u hawawezi elewa kwanini hili linatokea ....
Juventus tu ndio wameliona ,Tena wamekuja kushtuka muda umeenda [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Kwa Sasa ronaldo sio mchezaji Tena ni mfanyabiashara ,na anahakikisha sokoni anakuwa vzuri Sana ...huyu jamaa anaakili kichizii kama huna jicho la mwewe huwezi kuona [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]