Ukiangalia mishahara wanayopokea Salah, Mane, Kante, Mahrez, Foden au Mount na wanachopokea wachezaji wetu na wanacho-offer uwanjani ni huzuni sana na sasa hivi kuna tetesi nusu ya wachezaji eti hawana furaha yani unabaki unajiuliza hivi ni ms*nge gani anapewa pesa zote hizo hakuna anachofanya halafu anasema hana furaha kmkee hivi wanajua wanaweka mifukoni mwao pesa za mashabiki wangapi!
Wolves wanapambana kweli uwanjani ila mishahara wanayopokea ni midogo tu wengi watasema kwasababu wakina Sancho ni mastaa sijui kucheza United inabidi uchukue pesa ndefu ila ni upuuzi.
Halafu kuna ms*nge mmoja kama Pogba tu anataka achukue £500k per week, output yake ni ku-spend hela kwenye kubadilisha tu style za nywele kila wiki, mechi moja assist 4 anakaa mechi kumi assist 1 anaenda salon kwanza akirudi assist 1 msimu umeisha. Bloody fool!!!
View attachment 2068881