Hiyo Aya ya mwisho ni tusi mkuu, hahaaaLakini mkuu nilikwambia mapema ukanibeza.
Wolves siyo wepesi kama mlivyofikiria...Wolves bila kujikaza hutoboi wale jamaa.
Sasa nyie mlidhani mtawafunga kweli??
Nadhani leo mmeshuhudia mubashara ule ukuta na defence yao ilivyo.
Hamna timu hapo,
Mwanaume kushabikia manchester utd ambayo hata wadada hatuitaki aisee ni uzembe[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani hawa nyumbu wapate nafasi ya 4??Nakubaliana nawe. Sidhani kama mtaweza kupata namba nne.
Nadhani mtanange wa namba nne sasa mumuachie Arsenal, Spurs na westham
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23]
Formation ya Rangnick hiyo.....[emoji119][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe kuna muda unamkumbukaga Mungu eeeh!🤣Jesus Christ..
Ralf Rangnick anafanya nini kwenye training??..
Hawa wachezaji wana akili ya mpira na control kweli??
😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣Hiyo Aya ya mwisho ni tusi mkuu, hahaaa
Rashford kaingia kufanya nini?
😂😂😂😂Tupo pamoja mzee na gang gang style[emoji91][emoji91][emoji91]
Kufanya mazoezi ya kukimbia🤣🤣Rashford kaingia kufanya nini?
Kitimu?mnapigwaje nyumbani na kitimu kama hichi
Mi nataka kujua hii formation yake ya 4-2-2-2 alishawahi kuitumia kwenye timu gani kabla hajaja united?Ralf hatufikishi popote, kunasiku niliwahi sema kocha anaongea sana atulie afanye kazi.....hatufikishi namba 4 mwakani Europa.....
Huyu Kocha Nae kwanini Alimuweka Ferdinand Nje?