Wewe bwana kuja hapaWolves hawana jukwaa humu kwa hio we umeamua kubanana humuhumu kuwasifia wifi zako jinsi watakavyotupa miuno sio?
Mmeshinda game ya juzi mkuuToka kocha aje tumefanya mabadiliko gani ya kutuaminisha tunaenda njia sahihi?
Sio ubaguzi wa rangi mkuu,kama ni hivyo anawezaje kumchezesha Wan Bisaka anayepiga cross bora liende badala ya Dalot aliyecheza vema mechi zilizopita?Hapana mkuu, Combination ya Fred & Tominay ilikuwa ime-fit sana. Huyu mjinga anamuweka Fred nje kwa ubaguzi wake wa rangi tu.
Hiyo formation DM inabidi wawe wawili isipokua mmoja inabidi awe na akili ya Kante au flexibility ya Partey.Mwakani hatuchezi Uefa champions league.....
Kocha anatudanganya anasema anahitaji control ya mchezo lakini anachezesha namba 6 wawiki kweli?? Angalia man city na liver wanacheza viungo 3 tena hapo kiungo mkabaji mmoja tu....
ila sisi jamaa kakazana na viungo wakabaji 2, alafu analeta habari za kucontrol game....number 10 wawili ambao wanacheza kama 10 na pia kama winga ni idea ngumu sana na hata haieleweki maana muda mwingi unaona namba 10 ipo wazi haina mtu....
Pia kocha anabahatisha hadi aibu, kule mbele kwanini anachezesha striker wawili wakati hata possession ya mpira hatuwezi, kwanini asitengeneze pattern nzuri ambayo itasaidia steiker mmoja kupewa nafasi za kutosha na kufunga...
Sista hua nakuambia hauna kikosi cha kukufanya uzurure majukwaa ya watu na screenshot. Nyinyi ni vinega tu.Hapana mkuu, Combination ya Fred & Tominay ilikuwa ime-fit sana. Huyu mjinga anamuweka Fred nje kwa ubaguzi wake wa rangi tu.
Mashabiki wa Manchester United wanaweza wakapata mental disease usiku huu wa leo kwa sababu ya kichapo walichopokea usiku wa leo.
Mungu awatangulie kwa kweli wakuu. Japo najua mtapata usingizi wa shida ila hakuna namna. Ndiyo ukubwa huo.
Hukumuelewa vizuri alimaanisha tuna mkosi wa dunia ukijumlisha na formation ya Professor Ngengemkeni mitomingi matokeo yanakua kama hivyo ulivyoona.Kuna mpumbavu Mmoja anaitwa dawa ya ukimwi anasema mna kosi la dunia
Carrick aendelee asiendelee?Jesus Christ..
Ralf Rangnick anafanya nini kwenye training??..
Hawa wachezaji wana akili ya mpira na control kweli??
Point of correction, upo nafasi ya 7 na sio ya6Mashabiki na kipa watoe kwenye orodha ya wehu.
Yaani kwa hii timu ni bora hata majimaji ya songea wanacheza mpira unaoeleweka, yaani hata hip nafasi ya 6 sijui tumefikafikaje, ilitakiwa tuwe kule kwa kina New castle.