Yametimia Wolves ni aidha uwafunge moja au wakufunge moja au msifungane.Game ya leo itakuwa siyo la kitoto Wolves wapo radhi mechi iishe 0 - 0 ila siyo uwafunge kirahisi, hii mechi tutashinda tukiwa na defense nzuri ni mechi tunayoweza kupata goli 1 tu na ili upate hizo points 3 ni lazima uwe na walinzi wazuri.
Nakumbuka mechi ya kwanza msimu huu tuliwafunga Wolves 0 - 1 ila ni mechi iliyokuwa inaisha kwa droo au kufungwa kama tu Wolves wangekuwa makini. De Gea alituokoa dk za mwanzo kabisa uso kwa uso na Jimenez, Bissaka akaokoa mpira kwenye mstari baada ya Fred kufanya makosa katikati ya uwanja kwa kushindwa ku-control mpira. 2nd half De Gea akatuokoa baada ya corner ya Wolves kwa kufanya double saves.
Mechi ya kwanza tulishinda kwasababu ya form ya Greenwood akifunga mechi ya kwanza na ya pili kuokoa point moja mbele ya The Saints na kutupa alama 3 muhimu katika mechi tuliyocheza vibaya dhidi ya Wolves. Shuti la Greenwood lilimzidi nguvu goalkeeper ndiyo ikawa pona yetu.
Mechi ya leo Greenwood na McTominay ni watu muhimu kuanza, ndiyo wachezaji pekee kikosini wenye mashuti makali yanayokuwa on target. Kama mechi iliyopita mashuti ya McTerminator nje ya box ni muhimu sana na leo.
Hapo vipi mkuu......?Tusipo shinda leo ndapotezea kucheki game kwa kosi hili.View attachment 2063153
Mapema sana hata Rahl nae anafukuzwa?from my observation, the number of players that are supposed to be offloaded is big, vyombo vya habari uingereza vinatuponza, eti the squad of many talented players kweli? I declare this team to have a lot of trash, tusipokuwa makini tutafukuza makocha wengi bila mafanikio
Wolves wamekizima.....Leooo Tunakiwashaaaa, tupo na 4-2-2-2
Timu ni ya kuvunja kuanzia kiungo ya chini kwenda mbele, hata full backs hamna wa maana pale.Timu Yetu hata Kuingia Ndani Ya 18 ni Ngumu… Hivi Man U Tunakosa Nani? Kiungo mchezeshaji Au?
Mimi ndio nasubiri hapaNataka nikienda uzi wa Arsenal nikute mmepost kikosi na matokeo.
Tunasubiri tuone atalia nani😁Leo mashabiki wa ASANI-ALI wanaoishabikia Wolves wanakwenda kulia mara ya pili..
hongera kwa ushindi mkuuKwa upande wangu mimi hii ndio naiona shida kubwa kuliko yote.
Wachezaji wetu hawana ushirikiano kabisa yaani utafikiri wao kwa wao wanacheza timu pinzani.
Mipira wanapoteza hovyohovyo tu, ila leo naona beki kidogo zinajitahidi ila hapo kati na mbele hamna kitu kabisa.
Yote kwa yote nina imani na captain wetu hawezi kutuangusha lazima tuwafunge kama si goli 2 basi 1.
mchezaji wenu yupi hafai kushindana kwenye level ya juu?Kwa tunaojua mpira hatulaumu kocha
Hii timu imefanya sajili mbovu katika kipindi cha miaka mi3 ya Ole
Hatuna wachezaji wa kushindana kwenye level ya juu ndo maana hata baadhi ya makocha wanakataa kuifundisha hii timu.
Sikubaliani nawe katika hili. Bruno Fernandes ni mchezaji wa kiwango cha juuKwa tunaojua mpira hatulaumu kocha
Hii timu imefanya sajili mbovu katika kipindi cha miaka mi3 ya Ole
Hatuna wachezaji wa kushindana kwenye level ya juu ndo maana hata baadhi ya makocha wanakataa kuifundisha hii timu.
Hivi walidhani watashinda kwa wolves?Kosi la Dunia limefungwa
Umeona kipi mpaka useme useless?? Umeangalia mechi??Huyu RR ataharibiwa kazi na Ronaldo. Ronaldo is just useless.
Matusi na kejeli haviruhusiwi hahaahahahahahaHii formation hata mi siikubali lakin babu kaishikilia wakat haina msaada wowote pumbaf kabisa
Mkuu hivi liverpool walimuona JOTAKwahiyo walipigwa??
Mechi Inaisha Tuna Shoot On Target 1 Daaaaah Man U [emoji27][emoji27]
Mkosi wa duniaNilikuonya asubuhi mkuu kutokuangalia mechi[emoji23][emoji23][emoji23]
Nikasema hamna timu ya kuifunga wolves,,salama yenu ilikuwa mlinde goli hadi mdraw...
Wolves wakishatikisa nyavu,kugusa nyavu zao sahau kabisa.
Jamaa wana ukuta pale nyuma.
Usajili wa Ronaldo kwa namna flani ndio pia ulimuharibia Ole. Usajili wake ulikuwa ni wa kibiashara zaidi. Hakuwa kwenye mipango ya Ole kabisaUmeona kipi mpaka useme useless?? Umeangalia mechi??