kuna muandishi ameandika uvumi ufuatao anadai ndio unaoendelea ndani ya klabu (dressing room): Nitaziamini hizi habari kama zitakuja kuandikwa na waandishi mfano wa simon stone, james ducker, whitehill au luckhurst
- harry maguire ameziba mdomo wake tokea aliporudi cristiano ronaldo kikosini, hii ina maana ya kwamba jamaa ni kama amekosa ushawishi wa kuwa nahodha ndani ya kikosi (hajioni kama ana ushawishi mbele ya wachezaji aina ya CR 7)
- bado muamko umekuwa ni mdogo sana kwenye viwanja vya mazoezi kwa baadhi ya wachezaji, hii hali imemkuta hata Ole siku zake za mwisho (wachezaji walimlaumu mckenna na michael carrick kuwa si makocha sahihi wa kuongoza timu)
- wachezaji ni kama hawafurahii falsafa za mwalimu, mechi ya newcastle na norwich amesikika rangnick akizungumzia udhaifu wa timu hususani kwenye ishu ya intensity na physical. Ralf anahitaji kusolve hili tatizo ila inaonekana wachezaji hawapo tayari kujitoa kwa asilimia 100 kimapambano
- wachezaji hawajazoea mabadiliko ya muda wa kufanya mazoezi, inasemekana jumanne mazoezi yalimalizika jioni ya saa 11.
Wachezaji wamelelewa kifala, njia pekee ya kuondoa ujinga kama huu ni kuwaondoa waongoza fitina.