Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wazee muacheni RR wa watu, team ni bovu halafu angalia mazingira aliyokuta hapo kumbuka carrington imefungwa na team haijacheza siku ngapi.. kila team ina matatizo yake na udhaifu wake ukienda kwa mashabiki wa Spurs uliowasemea unajua ni kias gani wana lalamika au unadhani huyo Conte angekuja ndio matatizo ya team yangeisha ndani ya mwezi mmoja?
Conte kaleta impact na kila mtu anaona, Man United sio timu mbovu, kocha kashaonyesha hana uwezo, mkitundikwa mechi zaidi mtaelewa kesho
 
Conte kaleta impact na kila mtu anaona, Man United sio timu mbovu, kocha kashaonyesha hana uwezo, mkitundikwa mechi zaidi mtaelewa kesho
Inawezekana maana Conte, steven Gerrald, Ancelloti pale nadrid, wamepata direct impact hata solskjaer alipata direct impact.....labda ni suala la kuimplement mfumo
 
Kwa hali tuliyofikia Man united tunahitaji a pragmatic Manager than a football philosopher.

Manchester United kwa sasa ina wachezaji wengi ambao ama hawawezi tena kuchezea Man United au hawataki tena kuitumikia timu.
kuna muandishi ameandika uvumi ufuatao anadai ndio unaoendelea ndani ya klabu (dressing room): Nitaziamini hizi habari kama zitakuja kuandikwa na waandishi mfano wa simon stone, james ducker, whitehill au luckhurst
  • harry maguire ameziba mdomo wake tokea aliporudi cristiano ronaldo kikosini, hii ina maana ya kwamba jamaa ni kama amekosa ushawishi wa kuwa nahodha ndani ya kikosi (hajioni kama ana ushawishi mbele ya wachezaji aina ya CR 7)
  • bado muamko umekuwa ni mdogo sana kwenye viwanja vya mazoezi kwa baadhi ya wachezaji, hii hali imemkuta hata Ole siku zake za mwisho (wachezaji walimlaumu mckenna na michael carrick kuwa si makocha sahihi wa kuongoza timu)
  • wachezaji ni kama hawafurahii falsafa za mwalimu, mechi ya newcastle na norwich amesikika rangnick akizungumzia udhaifu wa timu hususani kwenye ishu ya intensity na physical. Ralf anahitaji kusolve hili tatizo ila inaonekana wachezaji hawapo tayari kujitoa kwa asilimia 100 kimapambano
  • wachezaji hawajazoea mabadiliko ya muda wa kufanya mazoezi, inasemekana jumanne mazoezi yalimalizika jioni ya saa 11.
Wachezaji wamelelewa kifala, njia pekee ya kuondoa ujinga kama huu ni kuwaondoa waongoza fitina.
 
rangnick amemwambia dean henderson hata ondoka klabuni kwa mkopo ifikapo mwezi January.
=============
mbwa amekula mtoto wa mbwa,
mpira wa kileo umegubikwa na nguvu ya mawakala na mipango yao ya kutaka kuwa juu ya makocha na timu. ili kupambana na kadhia hii unahitaji kuwa na kocha mwenye misimamo.
wakibanwa kidogo wanakimbilia kwenye vyombo vya habari, tulivyo wajinga hii timu imempa mkataba wa paundi laki 1.2 goalkeeper wa hakiba

go go rangnick
wahuni wanataka kukufelisha
 
Man utd timu lenye wachezaji wavivu duniani

Kocha hawezi kufoka ndani ya dressing room ,anabembeleza
umeona vituko vya wachezaji wa dunia
1640783078965.png
 
umeona vituko vya wachezaji wa dunia
View attachment 2061730
Man utd tatizo lao ni baadhi ya wachezaji walishajiweka ufather kwenye club ,yaani hawawezi kutoka club hapo eg rashford....mbaya zaidi sio wapambanaji na hawana uchungu na jersey ya united ....kocha anawabembeleza ....kila mtu anamwogopa mwenzake , captain magwaya anamuogopa Ronaldo ...Bruno anamuogopa Ronaldo ,kocha anamuogopa Ronaldo ...uvivu na mapuuza ni mengi

Hii club asipokuja kocha mbabe akasambaratisha hao vinabo ,hii timu inasafari ndefu ...

Tatizo wanaishi kama ndugu ,hakuna mafanikio ya kuafanya kazi kindugu hata siku moja ...
 
Kocha awe mkali kidogo.

Nakumbuka Arsenal aliteta alipochukua kazi na mwenendo wa timu. Seniors players ndio walikua tatizo, malazys hawapambani kisa Mshahara unaingia.

Alipoopt madogo wenye njaa ya kushine, smith rowe, Tierney, Saka, Martinel, Sambi Lokonga, Tominayasu.

Naona timu inaeleweka.

Man U, kocha asiyeangalia jina ndio dawa. Piga wote benchi awe Ronaldo au nani vile, chukua dogo wa academy changanya na seniors walio tayari kujitolea, kina Cavani, Bruno.

Mbona mimi naona Amadi na Elanga wako vizuri upande wa Rashford muhimu kuwapa motisha kuwa wakifanya vizuri Rashford anaoza benchi.

Tofauti na sasa madogo wanaamini ni wa kutumika mechi za kindondo Carabao, huko.

Naaamini huenda tukawa na mwanga, maana hata seniors watajua hawajui, kuwa now hakuna kuchekeana.

Pia naamini hivi;

TIMU YOYOTE INAYOWEZA KUSHINDA MAKOMBE MENGI NA KUWA NA CONSISTENCY NI ILE INAYOTENGENEZA MASTAA na sio INAYONUNUA MASTAA WALIO NA ATTITUDE TAYARI. Cheki man u ya Babu Fergie, ilikua ya kuzalisha mastaa wa kuletea mafanikio akiona unaanza attitude anakupiga bei haijalishi uko on form.

Liverpool icheki, inang'aa kwa kutengeneza mastaa hawasajili mastaa.

Ndio inafanya mishahara midogo output kubwa.

Njoo kwetu, Rashford attitude, Pogba Attitude, Ronaldo Attitude, Bruno huyo attitude, Mason Greenwood (dogo naona akipotea ashajaa upepo toka aanze kuchora tattoo attitude imezidi) bishoo martial attitude, Ukiangalia wachezaji wenye attitude ndio ambao hatuna Sub za kueleweka inakera na ndio wanafanya mambo magumu.

Cheki Donny yuko positive ( hadi huruma)
Amadi yuko positive ( hana attitude si mliona aliomba msamaha kwa kukosa chances, Rashford na Martial walituomba lini).

Ifike muda Tupige bei wote wenye attitude tuwe tunaleta chipukizi wenye njaa waliotayari kufia nembo.

Bruno naona kakata tamaa na attitude nyingi kaona liwalo na liwe.
 
Umeongea point sana kaka, RR sio tatzo tatzo ni wachezaji
 
Hili ndo la msingi ishu sio kocha ila hawa wachezaji walizoea kulala tu mazoezi sio mazito kukimbia kimbia tu ndo mana hakuna mbinu. Sasa wamekutana na mjeshi hawataki kubadilika ndo mana jamaa analalamika hawafuati maelekezo, sasa tatizo kubwa ni wachezaji basi hawa mapuuzi wasepe tu kama wanataka kucheza kifaza wasubiri Ole apate timu awabebe.
Liver man city kuna wachezaji wakubwa na mastaaa na wanapambana haswaa hawa vijana wanaleta ujuaji wamezoeq kulambwa na ole boys boys kulaleki.

Sasa hivi hamna kufukuza kocha hawa waondoke tu mmoja baada ya mwingine waje watu wenye uchungu na mapenzi ya kuchezea Manchester united wataojua uzito wa ile badge ambayo watu kama kina vidic kina Rooney walikua tayari kuvuja damu kuitetea.
 
Back
Top Bottom