NtYga
JF-Expert Member
- Aug 23, 2018
- 4,943
- 12,695
imekaa kama korodanihit map ya gegen pressView attachment 2061192
Kwanini kipindi Cha Sosha Scott na Rashiford walionekana wachezaji wazuri tofauti na kipindi hiki Cha RR, wewe haujiulizi?au kazi kumtetea Mzee wa maneno mengi mazuri RR kuliko Mourinho lakini kazi haionekani uwanjani?Kwa Ole formation ilifanya wasiwe average? Hivi mpo serious kumlaumu huyu mzee wa watu na udwanzi wa Rashford na Mctominay?
Hakunipa Mimi matumaini,Bali bodi ya timu na mashabiki pia Na ndo maana akawa anaongezewa muda mpaka kufika miaka mitatu Kwa matumaini ya kuwa Kuna siku atafanya vizurii na Yote ni kutokana na matokeo aliyo kuwa akiyapata nyuma,Kwa kufika nusu fainal euroapa Ligi,fa cup,na Kombe la Ligi,kufika fainal licha ya kupoteza mbele ya Villarreal,kumaliza nafasi ya tatu,msimu uliopita nafasi ya pili.Matumaini gani alikupa Sosha kaka![]()
Mashabiki wa Manchester,mnatiwa moyo na maneno ya kocha badala ya kutiwa moyo na performance na matokeo ya timu!
na kumalizia GGMU daaah@Moderator na timu yake imelala.Ni ipi haswa kazi ya moderator ndani ya hii forums?
kwa sababu ninayoendelea kuyaona ndani ya thread hii na nyenginezo (chelsea thread na arsenal thread ndio lengwa zaidi) hayaendani na dhumuni la kuanzishwa kwake kwa thread hizo.
kumekuwepo na mizaha inayopitiliza inayoambatana na lugha chafu pindi timu A inapopoteza points ndani ya uwanja, ubaya zaidi unaweza kuambatanishwa mzaha au kejeli ukawawajumuisha watu wote ndani ya thread.
jambo hili si sahihi hata kidogo kuliendekeza hususani kwa watu waliojaaliwa ukamilifu wa maarifa na malezi bora ya kimjadala.
huwezi kukutana na changamoto mfano wa hizi tunazozishuhudia humu ndani na kwengineko kupitia majukwaa mengineyo ya wenzetu (subreddit za vilabu mbali mbali pale reddit, redcafe, n.k)
Tujisahihisheni kwa pamoja.
Mkuu usimsahau na Rashford tafadhaliKwa hali tuliyofikia Man united tunahitaji a pragmatic Manager than a football philosopher.
Manchester United kwa sasa ina wachezaji wengi ambao ama hawawezi tena kuchezea Man United au hawataki tena kuitumikia timu.
Kwenye rebuild ya Solkjaer kila tulipojenga kona moja kona nyingine ilibomoka.
Hii orodha inapaswa kupewa mlango wa kutokea.
1. Nemanja matic
2.Juan Mata
3. Phil Jones
4. Harry Maguire
5. Anthony Martial
6.Jesse Lingard
7. Paul Pogba
Hawa watu wanazuia timu yetu kufanya usajili wa wachezaji watakoleta ushindani.
Rashford anachezeshwa ametoka kwenye injury ya bega lakini bado ni mchezaji mzuriMkuu usimsahau na Rashford tafadhali
Mkuu Rashford ana matatizo makuu matatuRashford anachezeshwa ametoka kwenye injury ya bega lakini bado ni mchezaji mzuri
Mnao.4-2-2-2 hatuna wachezaji wa huo mfumo hasa midfielders.
Wameedit bwana.af kuna mtu atakuambia alikua mwalimu wa kloppmfumo umekaa kama bikiniView attachment 2060202
Sent using motorola 78