Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kitqkqchomponza huyu kocha ni kuendekeza wachezaji wale wale wa sosha kina tominay fred raahford nk kina van de beek wamekaa njee kina sancho
Huyu si ni professor?????

Sasa nyinyi ndio mmekuwa maprofesaaaaa

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sasa atatoa wapi wachezaji au anatakiwa asajili timu nzima???
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Watu washavurugwaaaaaaaaaa
 
Wiki nzima kabla ya christmas walikua wanashinda vilabuni halafu wanasingizia Corona mbwa hawa.
😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
 
Angalizo: Matusi na kejeli sio uungwana

🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Hii timu Sosha aliiharibu kwa kusajili waingereza wengi kwenye timu
Lawama zote kwa Sosha

🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Kuna game ya msimu uliopita Arsenal tulicheza na liva tulipiga krosi zaidi ya 30 but no goal was produced. Na maajabu ni kwamba, wanaona kabisa hatupati goli ila hawaachi wanakomaa.

Jana naona united inakomaa na krosi tena against Newcastle no goal is secured but they didn't stop ikawa ni mwendo wa krosi tu.

Humo hamna kocha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…