ze-dudu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 18,428
- 24,144
Ndio maana naipenda epl vilabu vyao vikubwa havijawahi kuyumba kwenye uchumi sijui wana mbinu gani washenzi hawaDah hii timu inaenda kuwa Ac Milan mpya.
Ndio maana naipenda epl vilabu vyao vikubwa havijawahi kuyumba kwenye uchumi sijui wana mbinu gani washenzi hawaDah hii timu inaenda kuwa Ac Milan mpya.
Baada ya miaka mitatu ndio nitaanza kumlaumu tena kama atahitaji kuendelea kuwa kocha....Wambieee RR anatakiwa kulaumiwa Kwa idadi ngapi za mechi?
Oyah, binaadam wabaya weee!!!.......wasikie tu kwenye maredio na kuwasoma kwenye magazeti,...ila hawafai.OGS kakaa miaka mitatu hakuna alichofanya, wew unataka #Ralp afanye nini ndani ya wiki 2/3 hizi ??
Msimu wa kwanza pep kashika nafas y tatu huyo kloop kaangukia nane halafu mtu anasema et pep alikuwa na msimu wa kwanza mzuri.Wakati msimu wake wa kwanza chupuchupu aikose top four
Wenzetu sijui mpira wanaangaliaga wapi
Tuma salam kwa watu wa tatu, na usisahau kuchagua nyimbo uipendayo.ile penalty ya kujidondosha bila hata mpira ni ya mchongo aisee ....
Bado hajafukuzwa tuOyah, binaadam wabaya weee!!!.......wasikie tu kwenye maredio na kuwasoma kwenye magazeti,...ila hawafai.
Yani weki tatu tu watu wameshaanza kukanyaga!?.......Ashuke malaika basi.
Haipingwi, mura.Hehehehee, ndiye anpayetubeba mpk ss utake usitake, nitajie mchezaji aliyemzidi kwa mabao pale man u mpk ss, kama hamna basi kubali tu mkuu, awe anajiangusha au anaotea au anabahatisha lkn ukweli utabaki kwamba huna forward nyingine inayo deliver pale utd zaidi ya cr7.
Bruno tulikuwa naye na bado tukawa hovyo japo ni kweli alikuwa anafunga, Mana alikua anafunga goli mbili tunafungwa tatu, leo cr7 anafunga moja tunashinda mechi unajua kwnn? Kwasababu wachezaji wana ari cz wanajua ndani kuna mtu mkubwa, lkn pia wachezaji wa upinzani wanahofu na cr7 inapelekea kumkaba zaidi na kusahau kufunga.Nikweli, lakini ukumbuke baada ya yeye kuja hata bruno hafungi tena, Yaana bruno kamuachia Ronaldo options zote za kufunga, unategemea nini timu nzima inapoelekeza mipira kwako ufunge.
salah wa riverpool angekuwa anafanyiwa hivyo angekuwa na goli 50 leo.
Ronaldo ni yule yule mkuu miaka yote hajawahi kubadilika labda ubadilike wewe mkuu, atakukera mechi moja atakufurahisha mechi 10, yuko hivyo miaka yote tangu akiwa mdogo pale Utd."I wish we had more physicality, willingness to win one-on-one duels and we could have done better in certain parts of games." by Raff
Nategemea hizi tabia unprofessional kutoka kwa Ronaldo na Rashford zisionekane kuanzia mechi ijayo.
Huyo Bruno kacheza nini mechi mbili zilizopita?Nikweli, lakini ukumbuke baada ya yeye kuja hata bruno hafungi tena, Yaana bruno kamuachia Ronaldo options zote za kufunga, unategemea nini timu nzima inapoelekeza mipira kwako ufunge.
salah wa riverpool angekuwa anafanyiwa hivyo angekuwa na goli 50 leo.
Daaaah Hahahaaaa yani Ronaldo umemgroup kweye unprofessional players, aaaah kwamba Ronaldo na Rashid ni kitu kimoja?? Seriously Rashid = Ronaldo? 😅😅😅"I wish we had more physicality, willingness to win one-on-one duels and we could have done better in certain parts of games." by Raff
Nategemea hizi tabia unprofessional kutoka kwa Ronaldo na Rashford zisionekane kuanzia mechi ijayo.
Wacheza kamari hao, yani mechi mbili tu wanataka kocha awe ameshafuta mentality ambayo wachezaji wameizoea kwa miaka mitatu chini ya OGS,......!Oyah, binaadam wabaya weee!!!.......wasikie tu kwenye maredio na kuwasoma kwenye magazeti,...ila hawafai.
Yani weki tatu tu watu wameshaanza kukanyaga!?.......Ashuke malaika basi.
Hatukawii kumtupia zigo la lawama Ralf kama kawaida yetu wakati ni dhahiri kabisa kikosi ni kibovu.. itachukua time, kikubwa tuendelee kushinda na kutoruhusu magoli kama hivi, kikosi chetu ni cha kawaida sana hasa hapo kiungo na fullbacksDah,point tatu za kubahatishaa!
Mpira hauvutiii kuangalia,ni kukimbia kimbia tu uwanjanii,mipira inapotea haizidi dk 5,Short on target chache kinouma,off target chache.Ni kukimbia kimbia tu uwanjanii buree na si lengo la kutafuta magolii,magolii yenyewe yakipatikna ya bahati nasibu
Raph alicho faulu ni kuongeza defensive rate(Ukabaji na uzuiaji) dhidi ya timu dhaifu ambacho Sosha ndicho kilicho mfelisha Kwa msimu huu.
wanacheza dhidi ya arsenal wiki hiiWestham wametupita point 1 hadi sasahivi
Mnataka makocha kina Ole, boys doing well, not our lucky, it takes time blah blah blah.. Ralf ni nyeupe nyeupe nyeusi nyeusi tu. Hata kazi ya ukocha aligoma kuja hapa kuonesha kuwa anajua anachotaka, tushukuru hii consultancy role. Tumpe muda, muda huwa haudanganyiMimi pia nakubaliana na jamaa, cocha wetu anaongea sana kwa maana ya kwamba anaelezea technical details ambazo wakati mwingine ni kama anauza timu, sasa kwa sababu anafanya hivyo na sisi tunategemea kuona timu inafanya namna anaelezea, isipokuwa hivyo anakuwa ni kama mtu wa blabla tu.
well, wote tunajua it is too early kutegemea kuona consistent positive results, na yeye awe na mindset hiyo basi, kwa nini wakati mwingine anaongea kama vile it is time to deliver? ile mechi ya kwanza kawaponda fred na mactominay kwa kutoa sijui side way passes sijui hata ni pasi gani hizi? was it necessary kuwaredicule wachezaji wake hadharani? au anataka kujionyesha ni strong man?
sawa bwana?
Wanataka kumpa zigo la lawamaOGS kakaa miaka mitatu hakuna alichofanya, wew unataka #Ralp afanye nini ndani ya wiki 2/3 hizi ??

Goal za Ronaldo ndio zimetupeleka round of 16 Uefa, ndio top scorer kwetu, mara 100 Ronaldo ajidondoshe dk 90 nzima unakuwa una hope kuna kitu atafanya, mwangalie Rashford ndio tungekuwa tunamtegemea sasa hivi na huu utoto wakeMbn huna imani mkuu, kuna cku mpira unakataa, huyo ronaldo aondoke alafu nani akae mbele pale? Mechi kibao anatubeba yeye, hii co sawa kabisa, yn mtu akifanya vzr tunamsifia, asipo perform tunasema hafai.
Kuna mbwiga zinaweza Ronaldo anazingua, ukiwauliza mbadala wa Ronaldo unaambiwa Rashford au Greenwood kana kwamba hiyo misimu mingine hatukuwa nao.Goal za Ronaldo ndio zimetupeleka round of 16 Uefa, ndio top scorer kwetu, mara 100 Ronaldo ajidondoshe dk 90 nzima unakuwa una hope kuna kitu atafanya, mwangalie Rashford ndio tungekuwa tunamtegemea sasa hivi na huu utoto wake
Kuna watu wanaudhi sn, ila nawaheshimu tu kwasababu wanamichango yao mizuri humu, cr7 hapondeki.Goal za Ronaldo ndio zimetupeleka round of 16 Uefa, ndio top scorer kwetu, mara 100 Ronaldo ajidondoshe dk 90 nzima unakuwa una hope kuna kitu atafanya, mwangalie Rashford ndio tungekuwa tunamtegemea sasa hivi na huu utoto wake