Katalama
JF-Expert Member
- Mar 19, 2019
- 855
- 1,481
Hahaha!Acha tu mdau uliwaona leeds na chelsea mamaeee chelsea walikimbizwa kama sio zile penati game walikuwa wanakufa ile sasa nawaza united ifikie level ile nusu ya wachezaji hawatakuwepo.....
Hahaha!Acha tu mdau uliwaona leeds na chelsea mamaeee chelsea walikimbizwa kama sio zile penati game walikuwa wanakufa ile sasa nawaza united ifikie level ile nusu ya wachezaji hawatakuwepo.....
norwich kakutoa jasho ad ukaomba penalt unaanza ongelea chelsea iliomkunguta7 bila penalt yani nyumbu sjui akil mnazpelekaga wapAcha tu mdau uliwaona leeds na chelsea mamaeee chelsea walikimbizwa kama sio zile penati game walikuwa wanakufa ile sasa nawaza united ifikie level ile nusu ya wachezaji hawatakuwepo.....









Sidhani kama unajua tunachokiongeleanorwich kakutoa jasho ad ukaomba penalt unaanza ongelea chelsea iliomkunguta7 bila penalt yani nyumbu sjui akil mnazpelekaga wap
Sent using motorola 78
Leeds me nimempiga goli 5nikaja mpiga goli 6 huko nyuma akja akala goli 4 tena zote Ni ligi huyo Norwich anacheza spirit wana kocha mpya tena Ni Dean Smith utakutana naye marudio utajaleta mrejesho nakukumbusha huyo Leeds wako hajawahi kunifunga toka aje ila ww kashafukunga na anatoa draw na ww Tena penalty hongereni Chelpenatnorwich kakutoa jasho ad ukaomba penalt unaanza ongelea chelsea iliomkunguta7 bila penalt yani nyumbu sjui akil mnazpelekaga wap
Sent using motorola 78
Leeds tangu apande ligi kamfunga Chelsea lini Mbona unatoa matangoporiLeeds me nimempiga goli 5nikaja mpiga goli 6 huko nyuma akja akala goli 4 tena zote Ni ligi huyo Norwich anacheza spirit wana kocha mpya tena Ni Dean Smith utakutana naye marudio utajaleta mrejesho nakukumbusha huyo Leeds wako hajawahi kunifunga toka aje ila ww kashafukunga na anatoa draw na ww Tena penalty hongereni Chelpenat

Wakubeti hao wasikupe shidaHahahaa nimeshindwa hata kusoma comments zingine watu wanazingua humu. Yaani kocha analaumiwa tayari ndani ya mechi mbili tu?
Binafsi nimeona improvement kubwa sana. Clean sheets mbili ndani ya mechi mbili, tulicheza mechi 14 tukapata clean sheets mbili tu. Target kubwa ya Ralf kwa sasa ni kurudisha hali ya kujiamini ya wachezaji ambayo ilipotea. Hii inakuja kwa kushinda mfululizo regardless ya unavyocheza.
Inaonekana watu hawafuatilii vizuri mambo yanayoendelea nyuma ya wachezaji kuwa uwanjani. Toka Ralf amefika hajafanya full training na timu nzima bado anafanya nao kwa makundi makundi wengi huwa walikuwa wanapumzika kila baada ya mchezo mmoja. Leo timu inasafiri kutoka Norwich kwenda London tunawafuata Brentford maana yake wana siku moja tu ya ku-train kesho tu. Sio kazi rahisi hii kwa kocha mpya.
Sehemu kubwa ni video footage. Bado hajafanya nao mazoezi ya zaidi ya masaa 72 sio rahisi kwa kocha mpya kubadili mfumo haraka haraka. Naamini mabadiliko yataanza kuonekana kuanzia mwezi wa kwanza tukirudi ktk fixtures za week to week. Sasa hivi tuanahitaji kuchukua alama tatu tatu kwanza kila mchezo.
Hehehehee, ndiye anpayetubeba mpk ss utake usitake, nitajie mchezaji aliyemzidi kwa mabao pale man u mpk ss, kama hamna basi kubali tu mkuu, awe anajiangusha au anaotea au anabahatisha lkn ukweli utabaki kwamba huna forward nyingine inayo deliver pale utd zaidi ya cr7.Kwanza, Yaani unaongea as if Ronaldo wa Miaka 10 iliyopita ndio huyu wa sasa, kweli? Alafu hapo hapo unamlinganisha na wachezaji ambao hawajawahi pata hizo ballon dors, hauoni kama wewe mwenyewe unakiri Ronaldo huyu hamna kitu na value yake inaonekana pale unamlinganisha na watu wengine?
Mwisho, mimi sipendi vya kunyonga.
Ss ckia nikwambie tafuta mwingine wa kumtabiria ataondoka but kwa cr7 utangoja sn.Style ya uchezaji kwa kocha huyu haiihitaji wavivu uwanjani.......mambo ya imani achana nayo
Kaaa hii ndio penat ya man u kaaa aibuuuuMmh iko kitu kidogo hapaView attachment 2041194
Afadhali umeongea mpiraHii ni kama penalty ya city tu, sio penalty hii. huyu Ronaldo amekuwa ni mtu wa kujiangusha angusha hovyo, yenye jana kajiangusha mara nyingi kuliko shots on target alizopiga.
I hate this kind of footballers.
Hivi wewe jamaa ni timu gani ,Jana kila uzi umeingia kuropoka kuhusu penalty ,hivi unataka kusema wale mareferee wote wa city ,liverpool ,Chelsea ,man utd walikubaliana kugawa penalty za bure ...au unamatatizo mengineHii ni kama penalty ya city tu, sio penalty hii. huyu Ronaldo amekuwa ni mtu wa kujiangusha angusha hovyo, yenye jana kajiangusha mara nyingi kuliko shots on target alizopiga.
I hate this kind of footballers.
Mcheza kamari uyoHivi wewe jamaa ni timu gani ,Jana kila uzi umeingia kuropoka kuhusu penalty ,hivi unataka kusema wale mareferee wote wa city ,liverpool ,Chelsea ,man utd walikubaliana kugawa penalty za bure ...au unamatatizo mengine
Pep aliingia na kuleta direct impact team gani?Ndio. Hilo linawezekana kwa kocha mpya kuja na kuleta direct impact kwenye timu.
Ni km alivyofanya Pep na Tuchel.
Tatizo mlipiga kelele mlivyoleta kocha mpya, na matarajio yenu yalikuwa makubwa. Sasa taratiibu uongo unaanza kujitenga na ukweli![]()
RR anahukumiwa kwa mechi tatu za mwanzo ambazo ameshinda ila sosha amevumiliwa miaka mitatu amesajili wachezaji anao wahitaji na kila kitu alipewa. Leo hii RR analaumiwa kuwepo man u kwa mechi tatu katikati ya msimu, hajafanya hata usajili kupata wachezaji anao wataka. Tujitahidi kuwa serious na kuanza kuelewa kuwa mafanikio ni hatua na ili uweze kupata kitu kilicho bora lazima upate muda wa kutosha kukiandaa.Dah,point tatu za kubahatishaa!
Mpira hauvutiii kuangalia,ni kukimbia kimbia tu uwanjanii,mipira inapotea haizidi dk 5,Short on target chache kinouma,off target chache.Ni kukimbia kimbia tu uwanjanii buree na si lengo la kutafuta magolii,magolii yenyewe yakipatikna ya bahati nasibu
Raph alicho faulu ni kuongeza defensive rate(Ukabaji na uzuiaji) dhidi ya timu dhaifu ambacho Sosha ndicho kilicho mfelisha Kwa msimu huu.

Aisee hii timu tunajiona kama malaika hatutakiwi kupitia process eti kocha kabadilishwa then boooom makombe haya hapaMechi ya tatu mnataka vionekane nini lakini dah tuwe na subira wazee.
Kwa upande wa Ronaldo ni kweli kabisa ulicho sema ila uhalali wa penalt ile ni halali mkuu, ukiangalia yule beki hakuwa na dhamira yoyote ya kuucheza mpira zaidi ya yeye kumzingatia ronaldo hajafanya attemptyoyote kuuelekea mpiraHii ni kama penalty ya city tu, sio penalty hii. huyu Ronaldo amekuwa ni mtu wa kujiangusha angusha hovyo, yenye jana kajiangusha mara nyingi kuliko shots on target alizopiga.
I hate this kind of footballers.
OGS kakaa miaka mitatu hakuna alichofanya, wew unataka #Ralp afanye nini ndani ya wiki 2/3 hizi ??


Of course lazima aongee sana mkuu kwa sababu timu lakw ni kubwa na habari za manchester zinatafutwa kuliko habari za timu yoyote ile dunia kutokana na idadi ya mashabiki. Sas waandishi wakamsikilize arteta watauza wapi habari zaoKocha wetu nae aache kuongea sana, afanye kazi ionekane....