Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Kulingana na agent wake Martial, hatihati kuhama dirisha dogo la usajili na Gary Neville asema aishie tu mradi hela iwe ndefu
Well saidHahahaa nimeshindwa hata kusoma comments zingine watu wanazingua humu. Yaani kocha analaumiwa tayari ndani ya mechi mbili tu?
Binafsi nimeona improvement kubwa sana. Clean sheets mbili ndani ya mechi mbili, tulicheza mechi 14 tukapata clean sheets mbili tu. Target kubwa ya Ralf kwa sasa ni kurudisha hali ya kujiamini ya wachezaji ambayo ilipotea. Hii inakuja kwa kushinda mfululizo regardless ya unavyocheza.
Inaonekana watu hawafuatilii vizuri mambo yanayoendelea nyuma ya wachezaji kuwa uwanjani. Toka Ralf amefika hajafanya full training na timu nzima bado anafanya nao kwa makundi makundi wengi huwa walikuwa wanapumzika kila baada ya mchezo mmoja. Leo timu inasafiri kutoka Norwich kwenda London tunawafuata Brentford maana yake wana siku moja tu ya ku-train kesho tu. Sio kazi rahisi hii kwa kocha mpya.
Sehemu kubwa ni video footage. Bado hajafanya nao mazoezi ya zaidi ya masaa 72 sio rahisi kwa kocha mpya kubadili mfumo haraka haraka. Naamini mabadiliko yataanza kuonekana kuanzia mwezi wa kwanza tukirudi ktk fixtures za week to week. Sasa hivi tuanahitaji kuchukua alama tatu tatu kwanza kila mchezo.
Dah hii timu inaenda kuwa Ac Milan mpya.Adnan Januzaj alikuwa wetu akaenda Real Sociedad sasa Barcelona wanamhitaji View attachment 2041659
Wambieee RR anatakiwa kulaumiwa Kwa idadi ngapi za mechi?Humu kuna watu ni washangiliaji na sio mashabiki, either ni wacheza kamari ambao wapo desperate au hawajui wafanye nini.
Huwezi kuwa na akili timamu kisha ukaanza kumlaumu RR kwa mechi mbili.
Unataka kusema nini?Maana na Arsenal umemzidi point moja na Jumatano wanakutana West ham vs Arsenal.Westham wametupita point 1 hadi sasahivi
Mtadraw nyie na westham.....sisi tunaweza fika hata namba 3 kabla ya Christmas kama kikosi kisipo onesha poor playing na tukiwa ma bahati....Unataka kusema nini?Maana na Arsenal umemzidi point moja na Jumatano wanakutana West ham vs Arsenal.
Deal na team lako (arsenal), wewe nimekutoboa juzi tu hapa.Wambieee RR anatakiwa kulaumiwa Kwa idadi ngapi za mechi?
Nikweli, lakini ukumbuke baada ya yeye kuja hata bruno hafungi tena, Yaana bruno kamuachia Ronaldo options zote za kufunga, unategemea nini timu nzima inapoelekeza mipira kwako ufunge.Hehehehee, ndiye anpayetubeba mpk ss utake usitake, nitajie mchezaji aliyemzidi kwa mabao pale man u mpk ss, kama hamna basi kubali tu mkuu, awe anajiangusha au anaotea au anabahatisha lkn ukweli utabaki kwamba huna forward nyingine inayo deliver pale utd zaidi ya cr7.
Angekua Ole.From Raff's Mouth.
"The body language, the intensity, especially in our offensive department, the two striker and also the two number 10s, they didn’t play at the same intensity level as we did against Crystal Palace but again, that also has to do with the way that Norwich played."
"I wish we had more physicality, willingness to win one-on-one duels and we could have done better in certain parts of games." by RaffAngekua Ole.
"The boys prayed well. Christiano Scored, they are doing well, we got chances with Ronaldo" yaani Utumbo tupu.
Hapo Ralph lazima atakua amewaambia Rashford Ronaldo na Bruno kua hawakukaza pumbu.
Kwanza, Siko hapa kuforge allegiance na mtu kwa conform kwa feelings za kishabiki au maamuzi subjective ya marefa,Hivi wewe jamaa ni timu gani ,Jana kila uzi umeingia kuropoka kuhusu penalty ,hivi unataka kusema wale mareferee wote wa city ,liverpool ,Chelsea ,man utd walikubaliana kugawa penalty za bure ...au unamatatizo mengine
hao ni swala la muda kuwapita. tatizo tottenham.Westham wametupita point 1 hadi sasahivi
wauze huyu.Kulingana na agent wake Martial, hatihati kuhama dirisha dogo la usajili na Gary Neville asema aishie tu mradi hela iwe ndefuView attachment 2041653
Wakati msimu wake wa kwanza chupuchupu aikose top fourPep aliingia na kuleta direct impact team gani?
Wataondoka wengi tu ile style ya kukabia juu muda wote inahitaji mapafu ya mbwa😀😀😀wavivu lazima watafute mlango wa kutokea......Kulingana na agent wake Martial, hatihati kuhama dirisha dogo la usajili na Gary Neville asema aishie tu mradi hela iwe ndefuView attachment 2041653