Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 14,000
- 27,974
Huyo jamaa nimeshangaa sana, yani game imeisha tu anawahi kuja kumlaumu kocha anajua kwenye press, Daah😅.Sasa unataka Ralf asiongee kwenye press? Kwani muda anaokaa kwenye press si sawa na Ole?
Kucheza ovyo na press vinahusiana nini? Unaona Ralf anakaa sana kwenye press kwasababu anaongea facts tupu. Ole alikuwa kila saa ni 'the boys have played well, blah blah' hata quotes zake ilikuwa huzioni humu.
It's just three games, one poor game (game ya YB usiihesabu kabisa) kocha hafai kwasababu anaongea sana kwenye press (kitu ambacho ni moja ya kazi yake) kitu kinachopelekea timu kuwa na performance mbovu.
Take the positives and move on, we played like this for almost 3 f*ckin years under Ole and boom one poor game under Ralf here comes this!
6 points + clean sheet, sometimes no entertainment but you come out with the important piece of game.
Hakuna aliyesema kuwa tumecheza vizito, ila nimebaki najiuliza kwamba press ndo zimefanya wachezaji waahindwe kutekeleza majukumu yao? Mechi ndo kwanza ni ya pili , ila ashaanza kilio cha licha.
Apewe yéyé team.
