Wild sniper
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 4,426
- 8,726
Mechi ya tatu mnataka vionekane nini lakini dah tuwe na subira wazee.Namchukulia kama motivational speaker maana Sio Kwa kuongea vitu vizurii ivyoo... halafu havionekani
Mechi ya tatu mnataka vionekane nini lakini dah tuwe na subira wazee.Namchukulia kama motivational speaker maana Sio Kwa kuongea vitu vizurii ivyoo... halafu havionekani
Mimi pia nakubaliana na jamaa, cocha wetu anaongea sana kwa maana ya kwamba anaelezea technical details ambazo wakati mwingine ni kama anauza timu, sasa kwa sababu anafanya hivyo na sisi tunategemea kuona timu inafanya namna anaelezea, isipokuwa hivyo anakuwa ni kama mtu wa blabla tu.Huyo jamaa nimeshangaa sana, yani game imeisha tu anawahi kuja kumlaumu kocha anajua kwenye press, Daah😅.
Hakuna aliyesema kuwa tumecheza vizito, ila nimebaki najiuliza kwamba press ndo zimefanya wachezaji waahindwe kutekeleza majukumu yao? Mechi ndo kwanza ni ya pili , ila ashaanza kilio cha licha.
Apewe yéyé team.
Hii ni kama penalty ya city tu, sio penalty hii. huyu Ronaldo amekuwa ni mtu wa kujiangusha angusha hovyo, yenye jana kajiangusha mara nyingi kuliko shots on target alizopiga.Mmh iko kitu kidogo hapaView attachment 2041194
OGS kakaa miaka mitatu hakuna alichofanya, wew unataka #Ralp afanye nini ndani ya wiki 2/3 hizi ??Namchukulia kama motivational speaker maana Sio Kwa kuongea vitu vizurii ivyoo... halafu havionekani
Walio sema nyota njema inaonekana Asubuhi kumbe walikoseaMechi ya tatu mnataka vionekane nini lakini dah tuwe na subira wazee.
Mbn huna imani mkuu, kuna cku mpira unakataa, huyo ronaldo aondoke alafu nani akae mbele pale? Mechi kibao anatubeba yeye, hii co sawa kabisa, yn mtu akifanya vzr tunamsifia, asipo perform tunasema hafai.Baada ya misimu miwili wavivu wote watakua wameondolewa ili kufikia ule mpira anaocheza leeds au liverpool kukimbia dk ya kwanza mpaka ya tisini......
Nasikitika tu ronaldo huu utakua msimu wake wa kwanza na mwisho kuanza kikosi cha kwanza
Tatizo wanamuuliza.Kocha wetu nae aache kuongea sana, afanye kazi ionekane....
Hhhm! Hii timu ina majinga hii! Yani kabisa maneno haya ya kutoruhusu magoli mengi ndio mnaongea dhidi ya Norwich.





Wakati mwingine tunahitaji wachezaji wenye mbinu za kimchezo kama yeye, kukosa kufanya vile unadhani ubao ungesomeka vipi? Hivi unajua umuhimu wa ile penalty ya jana? Kama humpendi sema humpendi na co kukosoa kitu ambacho kimetufichia aibu ya jana, by the way cr7 haitaji ku prove kwako kwamba ana ballon dor 5 na amevunja mamia ya records mpk hivi tunavyoongea.Hii ni kama penalty ya city tu, sio penalty hii. huyu Ronaldo amekuwa ni mtu wa kujiangusha angusha hovyo, yenye jana kajiangusha mara nyingi kuliko shots on target alizopiga.
I hate this kind of footballers.
Kama Norwich Tu Nafasi Ya Ishirini Sijui Walikuwa Wanakuja Vile Na Bado Kidogo Wangesawazisha Hao Brentford Sijui Itakuwaje?



Kwahyo we ukivutwa usidondoke ushawai kuona wapiHii ni kama penalty ya city tu, sio penalty hii. huyu Ronaldo amekuwa ni mtu wa kujiangusha angusha hovyo, yenye jana kajiangusha mara nyingi kuliko shots on target alizopiga.
I hate this kind of footballers.
Yule na mwenzie Martial hawawezi kukua tena ni type za kina Lindgard. Uwezo wao ni mdogo wanatakiwa wakae nje au wauzwe tu. Sancho ni matured kabisa anajua anachokifanya uwanjaniRashford sijui atakua lini!?, Anazidiwa utulivu wa akili na Bwana mdogo Sancho! Kocha ampumzishe kama hatobadilika, aendelee na Campaign zake za kijamii.
Kinacho mlinda rashford ni uingereza tu lakini kiuchezaji si best player hasa wa man u huwezi kutegemea that kind of performance. Poor positioning, kupoteza mipira kirahisi sana na sometimes kujiangusha katika nafasi ambayo una umiliki mzuri wa mpira na nafasi how comes unasubiri sympathy of referee.Rashford sijui atakua lini!?, Anazidiwa utulivu wa akili na Bwana mdogo Sancho! Kocha ampumzishe kama hatobadilika, aendelee na Campaign zake za kijamii.
Kwanza, Yaani unaongea as if Ronaldo wa Miaka 10 iliyopita ndio huyu wa sasa, kweli? Alafu hapo hapo unamlinganisha na wachezaji ambao hawajawahi pata hizo ballon dors, hauoni kama wewe mwenyewe unakiri Ronaldo huyu hamna kitu na value yake inaonekana pale unamlinganisha na watu wengine?Wakati mwingine tunahitaji wachezaji wenye mbinu za kimchezo kama yeye, kukosa kufanya vile unadhani ubao ungesomeka vipi? Hivi unajua umuhimu wa ile penalty ya jana? Kama humpendi sema humpendi na co kukosoa kitu ambacho kimetufichia aibu ya jana, by the way cr7 haitaji ku prove kwako kwamba ana ballon dor 5 na amevunja mamia ya records mpk hivi tunavyoongea.
FYI, cr7 anacheza tangu mwaka 2003 na mpk leo anawazidi wachezaji wengi kiuwezo, do you have anything to accrue?
Style ya uchezaji kwa kocha huyu haiihitaji wavivu uwanjani.......mambo ya imani achana nayoMbn huna imani mkuu, kuna cku mpira unakataa, huyo ronaldo aondoke alafu nani akae mbele pale? Mechi kibao anatubeba yeye, hii co sawa kabisa, yn mtu akifanya vzr tunamsifia, asipo perform tunasema hafai.
Before mambo ya Campaign changia watoto alikuwa vizuri. Au anawaza kuwa kiongozi wa shirika la mpango wa chakula duniani (WFP).Yule na mwenzie Martial hawawezi kukua tena ni type za kina Lindgard. Uwezo wao ni mdogo wanatakiwa wakae nje au wauzwe tu. Sancho ni matured kabisa anajua anachokifanya uwanjani
Kama jana ametukaba sanaa! Game tungeiua mapema ile.Kinacho mlinda rashford ni uingereza tu lakini kiuchezaji si best player hasa wa man u huwezi kutegemea that kind of performance. Poor positioning, kupoteza mipira kirahisi sana na sometimes kujiangusha katika nafasi ambayo una umiliki mzuri wa mpira na nafasi how comes unasubiri sympathy of referee.
Yani jana ni kama alikuwa mchezaji wa miaka 35+ but its not, huwezi kuexpect that kind of performance from cavani
Rashford did very poor yesterday
Dakika za mwisho wachezaji wetu walikata moto, Walikuwa wanajipigia tu. Hadi waje kuuzoea uchezaji ule! Pumzi zitawabana sanaa.. Kuna siku atakuja kuzimia mtu.Style ya uchezaji kwa kocha huyu haiihitaji wavivu uwanjani.......mambo ya imani achana nayo
Acha tu mdau uliwaona leeds na chelsea mamaeee chelsea walikimbizwa kama sio zile penati game walikuwa wanakufa ile sasa nawaza united ifikie level ile nusu ya wachezaji hawatakuwepo.....Dakika za mwisho wachezaji wetu walikata moto, Walikuwa wanajipigia tu. Hadi waje kuuzoea uchezaji ule! Pumzi zitawabana sanaa.. Kuna siku atakuja kuzimia mtu.