Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mmeanza sasa, machezaji mwenyewe magarasa ila kila mkiibuka mnaruka na kocha, ashuke MUNGU sasa.

Au tuma proposal uchukue kibarua wewe.
Wewe kocha akikosea anaambiwa.....hatutakaa kimya kwasababu hata kwa Ole tulisema.....

who is he by the way.....tumecheza ovyo sana na wachezaji wamecheza ovyo

Je formation mbovu au wachezaji wamechoka au hawajatimiza majukumu yao hapo kazi yake kujibu....

Kukaa kwenye press kuzungumza sana hakutatusaidia....inabidi atuaaidie sana uwanjani maana waandishi wa habari wapo tu.....

We played very poor leo Norwich walikuwa hatari zaidi yetu
 
Taratibu timu inaanza kuonyesha mabadiliko. Kazi ya kuibadilisha timu kimifumo na kiuchezaji siyo kazi ya siku moja.

Rangnick anayaishi maneno yake aliyoyasema baada ya game ya Arsenal, kwasasa haturuhusu magoli mengi kitu ambacho hata goli moja tu linatosha kutupa points 3.
Hhhm! Hii timu ina majinga hii! Yani kabisa maneno haya ya kutoruhusu magoli mengi ndio mnaongea dhidi ya Norwich.
 
Wewe kocha akikosea anaambiwa.....hatutakaa kimya kwasababu hata kwa Ole tulisema.....

who is he by the way.....tumecheza ovyo sana na wachezaji wamecheza ovyo

Je formation mbovu au wachezaji wamechoka au hawajatimiza majukumu yao hapo kazi yake kujibu....

Kukaa kwenye press kuzungumza sana hakutatusaidia....inabidi atuaaidie sana uwanjani maana waandishi wa habari wapo tu.....

We played very poor leo Norwich walikuwa hatari zaidi yetu
Sasa unataka Ralf asiongee kwenye press? Kwani muda anaokaa kwenye press si sawa na Ole?

Kucheza ovyo na press vinahusiana nini? Unaona Ralf anakaa sana kwenye press kwasababu anaongea facts tupu. Ole alikuwa kila saa ni 'the boys have played well, blah blah' hata quotes zake ilikuwa huzioni humu.

It's just three games, one poor game (game ya YB usiihesabu kabisa) kocha hafai kwasababu anaongea sana kwenye press (kitu ambacho ni moja ya kazi yake) kitu kinachopelekea timu kuwa na performance mbovu.

Take the positives and move on, we played like this for almost 3 f*ckin years under Ole and boom one poor game under Ralf here comes this!

6 points + clean sheet, sometimes no entertainment but you come out with the important piece of game.
 
Mashabik makanjanja hawajui hilo, wanataka kocha akiingia leo, kuanzia kesho ni kushinda tu mfululizo na kucheza kwa very highest performance
Ndio. Hilo linawezekana kwa kocha mpya kuja na kuleta direct impact kwenye timu.

Ni km alivyofanya Pep na Tuchel.

Tatizo mlipiga kelele mlivyoleta kocha mpya, na matarajio yenu yalikuwa makubwa. Sasa taratiibu uongo unaanza kujitenga na ukweli😁
 
Wewe kocha akikosea anaambiwa.....hatutakaa kimya kwasababu hata kwa Ole tulisema.....

who is he by the way.....tumecheza ovyo sana na wachezaji wamecheza ovyo

Je formation mbovu au wachezaji wamechoka au hawajatimiza majukumu yao hapo kazi yake kujibu....

Kukaa kwenye press kuzungumza sana hakutatusaidia....inabidi atuaaidie sana uwanjani maana waandishi wa habari wapo tu.....

We played very poor leo Norwich walikuwa hatari zaidi yetu
Hahahaha okay nimekubali, kocha hajui kufundisha.
 
Back
Top Bottom