Sijui kwa nini Barcelona De Jong kawashinda. Haka kachalii ni kafundi sana.Kumeanza kuwa na tetesi za swap deal la Martial na de jong sababu wote wapo sokoni.....
Inawezekana ni tetesi tu
Sijui kwa nini Barcelona De Jong kawashinda. Haka kachalii ni kafundi sana.Kumeanza kuwa na tetesi za swap deal la Martial na de jong sababu wote wapo sokoni.....
Inawezekana ni tetesi tu
McTominay is not good enough..sasa hii inanichanganya, mi nilidhani tatizo ni mfumo kumbe ni wachezaji?
😀😀😀😀 Kumamaeeee huyu kocha banaViungo wetu ni dhaifu asema bosi kwa hiyo usajili haukwepeki View attachment 2039536
Tukichua alama 18 hapa naamini utofauti wetu na anayeongoza ligi utakuwa si zaidi ya alama 6. Mchezo mgumu hapa ni Brentford.
Safi sana. Huwa ilikuwa inanikera sana timu kubwa kama MU unabembelezaje mchezaji kubaki? Ni sawa na mwanaume mwenye pesa kumbembeleza mwanamke wakati ana options nyingi sana.Ralf Rangnick delivers a hard-line message: "If a player doesn’t want to play for club like
manutd, it doesn't make sense to convince him to change his mind. This is such massive club, with fantastic support, I don’t think anyone at the club should try to convince a player to stay"
Unaweza kuona kwanini Raiola anatupa vijembe wamekutana na mpingo.....
Pogba na martial kwaheri
Ujinga mtupu chief..kama mtu anaringaringa hakuna kuongea nae mara mbili.Safi sana. Huwa ilikuwa inanikera sana timu kubwa kama MU unabembelezaje mchezaji kubaki? Ni sawa na mwanaume mwenye pesa kumbembeleza mwanamke wakati ana options nyingi sana.
Hatuna mechi ngumu hapo niamini mimi nakuambiaTukichua alama 18 hapa naamini utofauti wetu na anayeongoza ligi utakuwa si zaidi ya alama 6. Mchezo mgumu hapa ni Brentford.
Asije nae akawa anatafuta popular kwa man u fansRalf Rangnick delivers a hard-line message: "If a player doesn’t want to play for club like