Anazingua sanaRashford ana utoto mwingi
Mamlaka ya kuchezesha na kuinfluence mashambuliz yapo kwa Bruno, bahati mbaya anapoteza Sana mipira na anashindwa kuhold, yaani lazima tuyumbeBruno yuko out of form
Tuliza kipapatio kipindi cha pili tunaondoka na point zetu 3.Norwich tuna jambo letu kipindi cha pili
Man united kubwa au wachezaji wengi ni mzigo?? Akishindwa na huyu basi labda aje mtume au nabii maana hakuna ataeweza.Huyu kocha atatimuliwa mapema sana, man utd ni kubwa kwake.
Huyu kocha atatimuliwa mapema sana, man utd ni kubwa kwake.
acha kuongea vitu usivyovijua.4-2-2-2 imefeli......pia Fred kwenye hiyo formation anacheza sana chini mbele anaonekana mara 1 1 sana.....
Tumecheza Ovyo sana sijui nini shida....kucheza na striker wawili haijakaa poa wanatesa midfield zetu ambazo nazo hazipo vizuri sana....
Mzinguaji ni Ronaldo mechi ya Leo.Lakini pia Rashford anazingua sana.
Ronaldo RonaldoKocha nae kumbe fala unamuacha rashford unamtoa sancho kweli.. Hata Ronaldo game imekataa leo