"Erling Haaland will take the next step. Bayern, Real, Barcelona, Man City - these are the big clubs he can join. Man City won the PL five times, significantly more than Man United. When we moved to BVB, we all knew that this step would come".......
Raiola ametuponda kiasi kwa kutuingiza kwenye kauli yake kuhusu Haaland....je hii inamaanisha nini?
Je, man u hawajampa pogba mkataba so raiola amemynd sababu alitegemea tuzame kwenye mtego wake?
Je, man u wamempa pogba mkataba mdogo [sawa na huu wa sasa] hivyo raiola amemynd?
Je, raiola anaitaka man u ipush kwa nguvu kufanikisha usajili wa Haaland ili apate cha juu?
Au man u wameziba milango yote ya mirija kwa raiola kuanzia kwa pogba hadi haaland??
Watajijuaga wenyewe Pogba, Raiola na Haaland.....kibiashara Haaland ni mtu mdogo sana tungeweza kumboost akapata fame tofauti na City ambako nahisi anaelekea