Ukimuona kama mchezaji kweli vile, kumbe wa kuchora.Martial kachoka kupasha joto benchi sasa ataka Januari hii aishie lakini ni nani atamlipa kama anavyolipwa na Manutd kwa kiwango hiki na majeruhi kila akichezea timu ya taifa ya ufaransaView attachment 2039533
Safi sana.Viungo wetu ni dhaifu asema bosi kwa hiyo usajili haukwepeki View attachment 2039536
Hili la kutokuwa na midfield imara liko wazi mkuu, hasa defending midfield.sasa hii inanichanganya, mi nilidhani tatizo ni mfumo kumbe ni wachezaji?
Hizi ndizo kauli huwa nazitaka, timu kubwa sana hii kama mchezaji anazingua aende, hakuna kubembelezana.Ralf Rangnick delivers a hard-line message: "If a player doesn’t want to play for club like
manutd, it doesn't make sense to convince him to change his mind. This is such massive club, with fantastic support, I don’t think anyone at the club should try to convince a player to stay"
Unaweza kuona kwanini Raiola anatupa vijembe wamekutana na mpingo.....
Pogba na martial kwaheri
Sasa kama Raff anataka vertical, pressing football ambayo hairuhusu existance ya lone players nilidhani automatically that cancels the midfield weakness, sababu tunakuwa ni kama vile tuko wengi pale. au?Hili la kutokuwa na midfield imara liko wazi mkuu, hasa defending midfield.
Sent using Jamii Forums mobile app
Respect RalfRalf Rangnick delivers a hard-line message: "If a player doesn’t want to play for club like
manutd, it doesn't make sense to convince him to change his mind. This is such massive club, with fantastic support, I don’t think anyone at the club should try to convince a player to stay"
Unaweza kuona kwanini Raiola anatupa vijembe wamekutana na mpingo.....
Pogba na martial kwaheri
Great. Hatimae tumepata mtu anayejielewa sasa.Ralf Rangnick delivers a hard-line message: "If a player doesn’t want to play for club like
manutd, it doesn't make sense to convince him to change his mind. This is such massive club, with fantastic support, I don’t think anyone at the club should try to convince a player to stay"
Unaweza kuona kwanini Raiola anatupa vijembe wamekutana na mpingo.....
Pogba na martial kwaheri
Makocha wachache sana wanaoweza kurusha mawe mchana kweupe kama hivi.Rangnick: "He [Pogba] can be an important player but this is true for all the other players that we have and I'm not just the coach of Paul Pogba."
manutd |
#GGMU![]()
Unateseka ukiwa wapiNimestuka man shit wameanza kununua ushindi ile siyo penalty . hongera kwao penchester city

pambana na hali yako kenge wewe 

we matusi peleka nyumbani kwenu, unawezaje muita mtu kenge? au na wewe ni kenge? alaaaUnateseka ukiwa wapipambana na hali yako kenge wewe
![]()
Wewe ngedere kumbe shabiki wa nyumbu ...unasema sio penalty ulikiwa Etihad wewewe matusi peleka nyumbani kwenu, unawezaje muita mtu kenge? au na wewe ni kenge? alaaa

Ngedere msizi wa mama yako.Wewe ngedere kumbe shabiki wa nyumbu ...unasema sio penalty ulikiwa Etihad wewe![]()
endelea kutukana, au pumzi imekata.Kumbe unavuta bangi mkuu![]()
Ole hapo ungesikia vikauli dhaifu kama hivi ... Paul is an integral part of this team and we are working on with him and his agent..Ujinga mtupu chief..kama mtu anaringaringa hakuna kuongea nae mara mbili.