D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,646
- 121,056
yeye mwenyewe anasema kabla ya kuwepo nia ya kufanya mazungumzo na klabu alizifuatilia mechi zote tano zilizopita zikiwemo tulizocheza na liverpool.Kwahiyo jamaa kama Magu kila kitu anajua [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app