Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Bila shaka alimaanisha kama Messi angekuwa bado yupo Barca basi Bayern wangetoa kipigo zaidi ya hiki cha goli 3 maana ni kama wameitumia Barca kutoa hasira zao za kukosa Ballon D'Or, sasa imagine Messi angekuwa ndani lazima wangefanya humiliation.

The Bavarians siyo watu, nashukuru tumemaliza top kwenye group letu maana ingekuwa ni mapema sana kupewa hao watu.
Nimemshangaa sana jamaa anahoji kwa team ipi eti
 
RANGNICK KUMBAKIZA CAVANI


MKUU wa benchi la ufundi la Manchester United, Ralf Rangnick, amesema anataka kuona straika mkongwe, Edinson Cavani, akimaliza msimu huu akiwa klabuni hapo.

Cavani (34), amekuwa akihusihwa na mpango wa kuondoka Old Trafford kupitia usajili wa dirisha dogo la Januari, mwakani.

Licha ya kuanza vizuri katika siku za mwanzoni mwa kibarua chake Old Trafford, Cavani alijikuta akipoteza nafasi ya kucheza, hasa baada ya usajili wa Cristiano Ronaldo.

Barcelona imekuwa mstari wa mbele kuifukuzia saini ya Cavani lakini Rangnick haoneshi kuwa anataka kumwachia nyota huyo.
 
Wala siyo story za kutunga, dogo kwenye youth level kashashindikana. Jana katupia goli kwenye UYL dk ya 80, kafunga kwenye mechi 6 mfululizo.

Last season mechi 21, magoli 24, assist 6.
Kama atafanya hivi kwenye senior team basi atakuwa ni moja wa graduates bora kuwahi kutokea kwenye MUFC Academy.

"Charlie McNeil scored, water is wet."
View attachment 2037837
Man U wana vyuma sana kwenye academy, wanaotusumbua ni watoto wa Cobham tu kule chelsea ila ndani ya miaka 3 tutakuwa nao
 
Atawauwa huyu jamaaa hahaha sipati picha huko mazoezini kama wako JKT.
sure, ila ninapata wasiwasi jamaa ni mkali sana, sababu kawaka sana kwamba kipindi cha pili na young boys "they didn't follow his instruction", imepelekea VBK kaomba msamaha kwa kuchomesha timu.

patamu ni pale watakapofuata instructions na bado wafungwe.
 
Man U hamlipi vizuri tena ona Pogba ameenda kuwa askari uko Uganda
Screenshot_20211209-233415.jpg
 
sure, ila ninapata wasiwasi jamaa ni mkali sana, sababu kawaka sana kwamba kipindi cha pili na young boys "they didn't follow his instruction", imepelekea VBK kaomba msamaha kwa kuchomesha timu.

patamu ni pale watakapofuata instructions na bado wafungwe.
Ndo inatakiwa wapo nyoronyoro sana lazima wachangamshwe kidogo.
 
Back
Top Bottom