D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,646
- 121,056
Dean henderson na van de beek kesho wataanza. Wakati huo huo klabu ya AJAX inamtaka henderson kwa mkopo
Cavani akiwepo huwa najiamini sana. Nafikiri atarudi uwanjani mchezo dhidi ya Brentford jumanne ijayo.Varane na cavani wameanza mazoezi ila hawatocheza kesho
Yule kilaza Ole alishusha hali ya kujiamini ya wachezaji. Jaribu kuvuta picha Arsenal, West Ham walituzidi zaidi ya alama 7 kabla ya mchezo wa Chelsea.Yaani, timu ilikuwa inacheza utafiriki sio mashindano ya UEFA. Yaani ilikuwa inacheza kama exitees
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] duh kwahyo wengine waliokuwepo juu wamesimama tuTukishinda zote hizo basi nafasi ya 1 au 2 yetu
Shida ya hawa jamaa wakishashinda mechi 2 mfululizo basi tayari wao ni mabingwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] duh kwahyo wengine waliokuwepo juu wamesimama tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shida ya hawa jamaa wakishashinda mechi 2 mfululizo basi tayari wao ni mabingwa
Sasa si team kubwa unakuwaje na wasi wasiShida ya hawa jamaa wakishashinda mechi 2 mfululizo basi tayari wao ni mabingwa
Subiri uone mnavyonyukwaUsiku wa mabingwa..
Hivi vi-young boys ole si ndo alivipa tunda kimasihara??..Ralf nipigie hata goli sita leo.
Hatufungwi leo..acha masikhara.Subiri uone mnavyonyukwa