Katalama
JF-Expert Member
- Mar 19, 2019
- 855
- 1,481
Kwa team ya taifa hana namba pale!! Nani atakaa bench palee!? Awaombee njaa tu, wapate majeruhi, au aongeze juhudi kwenye mashambulizi.Bissaka ana ball control mbovu sn, no wonder aliachwa kwenye WC, ila huenda kocha pia alichangia, ngj tuone this time itakuwaje chini ya Ralf Rangnick.
Sent using Jamii Forums mobile app

