Mondela
JF-Expert Member
- Aug 20, 2021
- 2,567
- 3,780
Hizi mechi zote tutashinda, Ole katuharibia sn timu mpuuzi yule.View attachment 2034302
Sent using Jamii Forums mobile app



jidanganyeni msipo pigwa na Norwich basi draw, ila naimani Brentford atawabatiza kwa maji ya uzima 

umebutua hapa mzee
Uko sahihi Sana, uwezo wa kumiliki mpira now tumekuwa nao, but uwezo wa kutengeneza nafasi ya mabao bado Ni mdogo, haina ubishi on targets zinajielez kwenye mechi dhid ya crystal