Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Mancini kasema haji
rangnick ataendelea kufundisha then tunamgeukia nagelsmann wa bayern munich. Wale wahuni hawajawahi kukaa na kocha kwa zaidi ya miaka mitatu.Mancini kasema haji View attachment 2037070
hizi ndio timu za kujifundishia pressing.Usiku wa mabingwa..
Hivi vi-young boys ole si ndo alivipa tunda kimasihara??..Ralf nipigie hata goli sita leo.
Kabisa 😀😀😀hizi ndio timu za kujifundishia pressing.
Nakubaliana na wewe hapa. Julian Nagelsmann aje huku then Erik Ten Hag aende Bayern.rangnick ataendelea kufundisha then tunamgeukia nagelsmann wa bayern munich. Wale wahuni hawajawahi kukaa na kocha kwa zaidi ya miaka mitatu.
Vipi huyu Mtunisia Hannibal Mejbrihizi ndio timu za kujifundishia pressing.
muda huu anashiriki michuano inayojumuisha nchi za kiarabu.Vipi huyu Mtunisia Hannibal Mejbri
Pamoja mkuu nataka nimuone zaidi Amad piamuda huu anashiriki michuano inayojumuisha nchi za kiarabu.
kocha amesema atampa nafasi pamoja na elangaPamoja mkuu nataka nimuone zaidi Amad pia
Yupo kwenye arab cap anakichafua vibaya. Ralph ana viumbe wa hatari sana carrington, hawa wakubwa wavivu kina Pogba waende tuVipi huyu Mtunisia Hannibal Mejbri
Fundi na nusu huyu dogo, Mahrez mtupu na kamwili kakezidane iqbal, natamani kumuona huyu fundi japo kwa dakika 10 usiku wa leo panapo majaaliwa. waingereza walitaka kumchukua lakini Iraq wakapambana kiume.

Kwahiyo jamaa kama Magu kila kitu anajuaKumbe huyu kocha wa young boyz naye ni zao la professor rangnick, kupitia interview yake hapo jana alisema yeye ndiye aliyempa nafasi timu ya vijana ya hoffenheim, jinsi alivyokuwa anaizungumzia young boys na mwenendo wao kwenye ligi yao imeonyesha jinsi gani rangnick alivyo na utajiri wa taarifa za soka. Rangnick anatisha na wasiwasi wangu hata hii ligi ya diamond na ali kiba pia anaifahamu kiundani. Teh teh teh





Ole angemmaliza huyu fundi mtoto.kocha amesema atampa nafasi pamoja na elanga
alitaka kumtoa kwa mkopo lakini majeruhi yakawa ni kikwazo