Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Jamaa wa locomotive huko Urusi wanadai Raff ni Fraud na amewaharibia timu yao, wanadai hakuna alilofanya zaidi ya kuigeuza timu kuwa ya kusajiri na kuuza wachezaji kwa ajiri ya kukidhi vigezo vya mfumo wa mpira ambao wanadai sio realistic sana sana ni mfumo wa kwenye key boards za computer.
 
wanadai hakuna kitu amefanya na walikuwa wanamvumilia sababu aliwatengenezea mazingira ya kumuamini kwamba atakuwa nao kwa muda mrefu kuhakikisha mfumo huo unazaa matunda kama ambavyo ilionekana itachukua muda mrefu kwa sababu ya failure kubwa aliyowafanyia kwa kusababisha timu kutoka bingwa msimu aliopita wakati hayupo mpaka nafasi ya tatu baada ya ujio wake.
 
Japo nadhani ni wazushi, sababu kama hawaamini mfumo kwa nini wamempa kazi assistant wake kama sio kwa lengo la kuhakikisha mfumo unaendelezwa.
 
Tumejipanga na tunaendelea kujipanga. Kwa hii mikakati ubingwa unanukia
PSX_20211206_233616.jpg
 
Diogo Dalot: "There’s not anyone thinking that ‘this [game vs Young Boys] is not a good game to play’ or ‘this is not the way to approach it’. We are going to approach it like it was a game to qualify."

manutd |
#GGMU
 
Erik ten Hag: “I believe I'm ready [for a move]. I’d gladly accept that challenge. But it's not that I'm hunting for it, if this step doesn't arrive I won't say my career has failed. But I believe I have enough skills to accept the challenge.”

manutd |
#GGMU
 
wanadai hakuna kitu amefanya na walikuwa wanamvumilia sababu aliwatengenezea mazingira ya kumuamini kwamba atakuwa nao kwa muda mrefu kuhakikisha mfumo huo unazaa matunda kama ambavyo ilionekana itachukua muda mrefu kwa sababu ya failure kubwa aliyowafanyia kwa kusababisha timu kutoka bingwa msimu aliopita wakati hayupo mpaka nafasi ya tatu baada ya ujio wake.
Hii taarifa sio kweli. Locomotive Moscow hawakuwa mabingwa wa Urusi msimu uliopita (Zenit). Zenit amechukua kombe miaka mitatu mfululizo (2019, 2020, 2021).

Ralf amefanya kazi miezi minne tu (July - Nov, 2021). Kusema walikuwa wanamvumilia ina maana gani? Sina hakika kama hao watu wanayajua majukumu ya mkurugenzi wa ufundi.

Kazi yake amepewa msaidizi wake aliyemwajiri yeye mwenyewe (Lars Kornetka) ambaye amefanya nae kazi toka akiwa Hoffenheim, Schalke na Leipzig.
 
Jamaa wa locomotive huko Urusi wanadai Raff ni Fraud na amewaharibia timu yao, wanadai hakuna alilofanya zaidi ya kuigeuza timu kuwa ya kusajiri na kuuza wachezaji kwa ajiri ya kukidhi vigezo vya mfumo wa mpira ambao wanadai sio realistic sana sana ni mfumo wa kwenye key boards za computer.
Hizi habari hazina ukweli wowote mkuu, Ralf hajakaa Locomotive muda mrefu kiasi hicho, na hâta hivyo hakuwakuta wakiwa mabingwa kama taarifa yako inavyosema.
 
Sijui ingekuaje kwenye media bwana Grealish angesajiliwa kwa £100M na Man Utd afu hadi sasa kafunga goli 1 na assist 2.
Kusema ukweli sijawahi mkubali Grealish kabisa. Bora hajaja kwetu kabisa.

Na siwakubali waingereza hata kidogo.

Sancho, Maguire, Grealish, Rashford, AWB n.k

Hawana output inayolingana na thamani wanazohusishwa nazo.
 
Back
Top Bottom