Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

I co-sign this. Phil Jones pia.

Hawa vilaza kama kuna timu watajipendekeza waende pia

Fred, Scott, Harry Maguire, Aaron Wan Bissaka, Marcus Rashford. Naamini ndani ya miaka miwili ya Ralf atakuwa kapunguza angalau watatu kati ya hawa.

Hapo kwa Marcus watu wengi watashangaa kidogo ila ukweli huyu mchezaji sioni aki-grow zaidi ya hapo. Nusu ya mshahara wake unaweza kutupa mchezaji mwenye uwezo mara 2 yake m.f Pedro Goncalves Pote.

Tunahitaji wachezaji walio na hadhi ya kuwa United, na sio tukicheza na vitimu kama Leicester au Everton huoni utofauti.
Mkuu Pedro Goncalves siyo level ya Rashford hata kidogo.

Tunamunderate sana Rashford katika kikosi chetu lakini Rashford ana impact kubwa kikosini sawa na Bruno.

Msimu uliopita Rashford alihusika katika nusu ya magoli tuliyofunga.
Msimu huu kukosekana kwake mwanzo wa ligi limekuwa pigo kubwa sana tumeishia kustruggle kuvizia magoli ya tap ins.

Kama huwa unaangalia uwepo wa Rashford huwa unatengeneza space kubwa sana kwa Bruno kufunga na kutengeneza chances.

Katika assist tatu alizotoa Lindelof msimu huu mbili alifunga Rashford.

Kuingia kwa Rashford game yetu na Villa Real ilikuwa advantage kubwa sana kwa Ronaldo na Sancho pembeni timu nzima ya Villa real ilihamia kushoto kupambana imminent danger ( Rashford).
 
Manguire ana kichwa kikubwa kama Transfoma.

Manguire anatoa maboko sana uwanjani kwa sababu kichwa chake kinachukua wiki nzima kuchakata maelekezo ya kocha uwanjani

Wiki inayofuata akiingia uwanjani anafanyia kazi maelekezo ya mechi ya wiki iliyopita ndio maana anaendelea kutoa maboko.
Dah We jamaa, kwaiyo maguire kichwa kikubwa akili kisoda, ila man utd pale tulipigwa pakubwa bora hata tungemchukua Coulibary wa Napoli
 
I co-sign this. Phil Jones pia.

Hawa vilaza kama kuna timu watajipendekeza waende pia

Fred, Scott, Harry Maguire, Aaron Wan Bissaka, Marcus Rashford. Naamini ndani ya miaka miwili ya Ralf atakuwa kapunguza angalau watatu kati ya hawa.

Hapo kwa Marcus watu wengi watashangaa kidogo ila ukweli huyu mchezaji sioni aki-grow zaidi ya hapo. Nusu ya mshahara wake unaweza kutupa mchezaji mwenye uwezo mara 2 yake m.f Pedro Goncalves Pote.

Tunahitaji wachezaji walio na hadhi ya kuwa United, na sio tukicheza na vitimu kama Leicester au Everton huoni utofauti.
Huyo Pedro Goncalves ni mtu na nusu Ana njaa hatari, alafu pesa yake ya kawaida tu anachukulika
 
Wewe mkuu upo serious yani umtoe Rashford umsajili Pedro Goncalves? au haufahamu alicheza Wolves akaflop??

Rashford ni mchezaji mzuri sana huwa anatendea haki sana wing ya kushoto ukitaka uamini angalia game aliyorudi alafu pia angalia martial na sancho wakiwa upande huo
Hahaa umenikumbusha Mo Salah aliposajiliwa L'pool usajili wake ulipigwa vita sana kwamba ali-flop EPL iweje Klopp amrejeshe? Pedro hajawahi kucheza mechi yoyote ile ya EPL akiwa Wolves. Aliomba kuondoka mwenyewe msimu wake wa kwanza Ureno alikuwa mchezaji bora wa ligi kijana, maana yake kuna sbb za msingi zilimfanya asiwe anacheza Wolves.

Pedro kawaongoza Sporting Lisbon kubeba ubingwa wa ureno tokea mwaka 2002 zaidi ya miaka 19 akiwa top scorer wa timu na ligi nzima ya ureno. Alifunga magoli 23 kati ya magoli 65 ya Sporting Lisbon msimu uliopita. Misimu miwili mfululizo amekuwa mchezaji bora kijana wa ligi ya Ureno.

Msimu huu japokuwa alikuwa nje ya uwanja kwa zaidi ya miezi miwili bado ni kinara wa ufungaji wa Sporting Lisbon ana goli 11 kati ya michezo 14 aliyocheza. UEFA ana goli 4 kati mechi 3 alizocheza, hakucheza mechi mbili za mwanzo ambazo Sporting walifungwa zote. Juzi kawaongoza Sporting kuwavuruga Dortmund alifunga goli 2.

Ukimfuatilia vizuri huyu dogo Rashford hamfikii hata nusu ya uwezo wake ni vile haimbwi na vyombo vya habari.
 
Nadhani team inahitaji marekebisho madogo.

Mosi,tunahitaji kuwaondoa wachezaji wasio na tija.
1. Jones
2. Mata
3. Matic
4. Martial
5. Pogba
6. Cavani
Pili,tunahitaji kusajili wachezaji wa kiwango cha juu katika nafasi za Mlinzi wa kati,mlinzi pembeni kulia,kiungo mlinzi na mshambuliaji kazi imeisha.
 
Here we go
20211126_200521.jpg


Sent from my M2004J19C using JamiiForums mobile app
 
Hizi story zenu za kahawa bwana, Eti unakumbuka kuna siku OLE alifokewa na Fargie kisa kumuanzisha Ronaldo benchi? Ulisikia wapi, wewe ni nani pale UTD hadi uyashuhudie yoote hayo? 😅😅

Acheni kujifanya mnaijua sana hii team, mnajikuta mnaajua sana ukocha na roporopo nyingi tu kuhusu mpira kumbe ni viande tu.

Yani unataka kuwaamisha watu kwamba OLE ni kocha mzuri,isipokuwa Ronaldo ndo kasababisha ashindwe? Huko UEFA li team lilikuwa linazidiwa kila kitu, linaokolewa na juhudi binafsi za Ronaldo.

Unasema OLE ni kocha mzuri kaangushwa na Ronaldo? Atleast angekuwa anapoteza huku akicheza mpira unaoeleweka ningekubali, lakini sasa li-team lote lilikuwa hovyo unawezaje kum-point out Ronaldo pekee???
hujielewi, umetoka huko ulikotoka na kukutupukia hapa.
 
Back
Top Bottom