Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ragnick, kocha mpya wa Manchester United

Ralf Ragnick ni kocha wa kijerumani mwenye umri wa miaka 63 ambaye kwa sasa anafanya majukumu ya "Sporting Director" katika klabu ya Ligi Kuu ya Lokomotiv Moscow, Urusi.

Amefundisha timu kadhaa ikiwemo Stuttgart, Schalke, Hoffenheim & RB Leipzig.

Nje ya ukocha, mbali na Lokomotiv Moscow, pia amefanya kazi ya "Sporting Director" katika vilabu vya RB Salzburg & RB Leipzig.

Timu kubwa barani Ulaya kama AC Milan, Liverpool, Tottenham na Chelsea baada ya kumfukuza Lampard zimewahi kumuhitaji awe mkufunzi wao lakini ikashindikana kutokana na sababu mbalimbali. Mfano Chelsea walimuhitaji awe kocha atakayemalizia msimu wa 2021. Ragnick aliwajibu yeye sio kocha wa muda mfupi, ili ashawishike kuwa kocha wa muda mfupi kwenye klabu yoyote anahitaji mradi wa kipekee.

Aina ya soka la Ragnick ni kila mchezaji uwanjani kufanya jukumu alilopewa, kufanya counter pressing pindi timu inaponyang'anywa mpira na kukabia juu ya uwanja ili timu inapopokonya mpira iwe karibu na goli la mpinzani na kuwe na wapinzani wachache wanaolinda (maana wote walikuwa wanawaza kwenda kushambulia). Ragnick anapenda mpira wa intensity na possession.

Si ajabu kwamba Klop, Nagelsman, Tuchel na makocha wengine wengi wakubwa wanatajwa kujifunza mbinu za mwalimu Ragnick hususani kwenye Gegenpressing approach na makocha wote kwa nyakati tofauti wamewahi kukiri hilo.

Katika moja ya interview zake Ragnick alisema anapenda timu yake ikabie juu na ipokonye mpira haraka na ndani ya sekunde 8 hadi 10 wawe wamekwenda kumsalimia golikipa wa timu pinzani. Pia alisisitiza umuhimu wa kufanyia kazi mipira ya set pieces kwani 30% ya magoli yote ni zao la set pieces.

Kwa wengi Ragnick anaonekana kama kocha/mtawala kwenye soka ambaye anafaa zaidi kwenye ku transform timu kupitia usajili bora, kuleta & kuibua vipaji klabuni, kuimarisha mental state za wachezaji na kuipa klabu aina ya uchezaji (identity).

Kwa pale United Ragnick anategemewa kuja kufundisha kwa kipindi kilichobaki mpaka msimu utakapokwisha na baada ya hapo atabaki kuwa Mshauri kwa mkataba wa miaka 2. Na baada ya kibarua chake kuisha mwisho wa msimu kazi yake ya kwanza itakuwa ni kuishauri Man Utd kuteua kocha atakayeleta kile mashabiki ambacho wamekuwa wakikitaka kwa miaka kadhaa.

Sent from my M2004J19C using JamiiForums mobile app
 
Glory Glory Manchester United
 
Usikute unamsema Maguire kichwa kikubwa, wewe una pua kama ya Baba Levo, jenga hoja, acha ku attack personality ya mtu

Kuchukua Champions League sio kigezo, hata Werner amechukua Champions League na Lukaku hajachukua, lakini shabiki timamu yoyote wa Chelsea atamchagua Lukaku kwenye timu yake na si Werner

Huyu Silva si ndio PSG wamemkataa, na wakamchukua Ramos?

Silva is just a Farmers League reject

Sent from my M2004J19C using JamiiForums mobile app
Suala la Silva kuondoka nahisi linahusiana na maswala ya mkataba....ndo maana Silva mwenyewe aliishangaa psg walimuacha aondoke Afu wakamchukua Ramos mwenye umri mkubwa kama wake.....kuhusu ubora halipingiki Silva is way above hao kina Maguire beki ghali zaidi duniani mliouziwa na matapeli ....
 
Manguire ana kichwa kikubwa kama Transfoma.

Manguire anatoa maboko sana uwanjani kwa sababu kichwa chake kinachukua wiki nzima kuchakata maelekezo ya kocha uwanjani

Wiki inayofuata akiingia uwanjani anafanyia kazi maelekezo ya mechi ya wiki iliyopita ndio maana anaendelea kutoa maboko.
.. Afu anamponda Silva ilhali yy yupo na Maguire Mzee wa no look defense
 
nauza screenshot za nyumbu akiwa anaongoza ligi

Sent using motorola 78
 
michezaj ya nyumbu haifundishiki labda aje kocha kaliba ya yesukama limagwaire lipogba lifred lironado libruno libisaka aya ata yachapwe fimbo yatabak vilevile

Sent using motorola 78
 
Manguire ana kichwa kikubwa kama Transfoma.

Manguire anatoa maboko sana uwanjani kwa sababu kichwa chake kinachukua wiki nzima kuchakata maelekezo ya kocha uwanjani

Wiki inayofuata akiingia uwanjani anafanyia kazi maelekezo ya mechi ya wiki iliyopita ndio maana anaendelea kutoa maboko.
fala wewe
 
Ha ha ha nimecheka sana hii kitu mzee
 
Suala la Silva kuondoka nahisi linahusiana na maswala ya mkataba....ndo maana Silva mwenyewe aliishangaa psg walimuacha aondoke Afu wakamchukua Ramos mwenye umri mkubwa kama wake.....kuhusu ubora halipingiki Silva is way above hao kina Maguire beki ghali zaidi duniani mliouziwa na matapeli ....
Matapeli
 
Tujadili soka gani wewe mwana apolo ..hapa hakuna Cha kujadili ..jumapili tunakub*ka bao tatu za nguvu ..sisi hatuna muda wa kujadili soccer na nyumbusz
Nakazia hapo kwenye TUNAKUB*KA.
Ngoja juma pili ifike.
Siwezi kutabili, sababu sio professional yangu.
 
mnavyomremba uyo kocha sasautasema katokea barcelona kumbe takataka alietupwa uko Russia sema aya maneno ata kipindi ronado na sanchoka walvokuja mliwanenea saiv wako wap
nb; nyumbu ni nyumbu2

Sent using motorola 78
 
Aondoe mizigo ss, kina Matic, Martial, Lingard wanakula pensheni tu pale.
I co-sign this. Phil Jones pia.

Hawa vilaza kama kuna timu watajipendekeza waende pia

Fred, Scott, Harry Maguire, Aaron Wan Bissaka, Marcus Rashford. Naamini ndani ya miaka miwili ya Ralf atakuwa kapunguza angalau watatu kati ya hawa.

Hapo kwa Marcus watu wengi watashangaa kidogo ila ukweli huyu mchezaji sioni aki-grow zaidi ya hapo. Nusu ya mshahara wake unaweza kutupa mchezaji mwenye uwezo mara 2 yake m.f Pedro Goncalves Pote.

Tunahitaji wachezaji walio na hadhi ya kuwa United, na sio tukicheza na vitimu kama Leicester au Everton huoni utofauti.
 
Back
Top Bottom